Miaka 50 ya TANGANYIKA - Arusha kukesha

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Kwa wakazi wa Arusha na vitongoji vyake, kwa heshima na taazima napenda kuchukua nafasi hii kuwa karibisha leo katika mkesha kuazimisha miaka 50 ya TANGANYIKA nooo Tanzania bara kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid...
Ulizi utakuwa wa kufa mtu hatuwaogopi Al Shabaab wala kile kijikundi cha 2858....
al-shabaab.jpg

Asanteni sana ila ikumbukwe binafsi sitakuwepo.....
 
What are we celebrating again? 50 years of hardship in our country which is blessed with everything.
 
Ulizi utakuwa wa kufa mtu hatuwaogopi Al Shabaab wala kile kijikundi cha 2858....


Asanteni sana ila ikumbukwe binafsi sitakuwepo.....
Mbona unatukaribisha halafu unatutisha kwa picha halafu inaonekana wewe mwoga kweli....hatuwaogopi ila sitakuwepo.
 
Hivi 2858 wamepotelea wapi ama wanasubiri hizo siku 100 walizompa mkuu wa nchi walianzishe?

Kuhusu miaka hamsini ya uhuru, mimi sitakuwepo labda kama itakuwa ni kwa ajiri ya kudai uhuru wa kweli wa Tanganyika kutoka mikononi mwa wakoloni weusi!
 
Back
Top Bottom