Miaka 50 uhuru!,tvz mbona haionekani tanzania bara ?

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Habari wadau,naomba mwenye kuelewa hili anisaidie kuelewa,ni kawaida vyombo vya vya bara(Tanganyika)magazeti,redio na televisheni kurusha matangazo yake visiwani zanzibar na pia magazeti kuuzwa pande zote mbili za nchi.Lakini inakuwaje TELEVISHENI ZANZIBAR hairushi matangazo yake huku bara? naomba kuwakilisha!
 
Back
Top Bottom