Miaka 50 iliyopita

MUREFU

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,331
Reaction score
353
Watanzania tumetoka mbali sana ninakumbuka mzaz alikuwa akitaka kwenda kununua nguo zangu au viatu vyangu vipya vya sikukuu. Basi atachukuwa tepu na kunipima hata kama hakusomea ufundi wa kushona au atachukuwa karatas na kuchora mguu wangu alafu anakwenda navyo dukan kukununulia. Akirud kama kidogo atapewa nduguyo au kama kikubwa utavaa hata kama ninakubana je wewe miaka 50 iliyopita unakumbuka nini
 

yah nakumbuka vizuri sana nilikua sijazaliwa bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…