Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,613
Raisi mmoja mstaafu wetu alitahadhalishwa kuwa mara nyingi chama kikitawala zaidi ya miaka 50 huwa kinabadili ajenda kutoka kuwa chama cha Siasa na kuwa kukundi cha kigaidi.
Nadhani Raisi huyo mstaafu kwa sasa itakuwa anatafakali hoja za hao wenzetu ambao tunapopitia walipitia miaka zaidi ya mia moja iliyopita.
Sasa kwa tuliokuwa na taarifa zile tunazipima, naona kama ni kweli, sasa chama Fulani kina kuwa kikundi cha ugaidi, (ugaidi ni nini? Kutisha, kuuwa au uharibifu kama shinikizo la matakwa Fulani) sasa practical inatema na inatoa matokeo halisi.
Wananchi, waandishi wa habari, wanasiasa, wanadini, wafanyakazi, wakulima na wafanya biashara wote wananatishwa na wametishika! KWELI WAZUNGU NOMA!