Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,929
- 40,599
Kawaida mbona. ...
Ila wapembeni watakuwa hawamuelewi mapema. ...
Ila ukikutana na atakaye ifafanua kivingine watakupa shida.
Fanya uanze mapema. ....inakupendezea [emoji6][emoji6][emoji6]
Hahaha, mimi pia nilichelewa kumwelewa. Ila nilikuja nikajifunza kitu kwake, mpaka leo kinanipa ushindi.
Respect to the opposite gender, regardless nimemkuta wapi, anafanya kazi gani, ni age gani.