Miaka 40 ya World Vision Tanzania - Hotuba ya Kaimu Mwenyekiti wa Bodi

Kwahiyo wewe unamfuatilia Huyo dada Makamu mwenyekiti? Tunajua kwa sababu alikuwa boss wako na alikufukuza kazi? Ndugu acha kufuatilia mambo ya mtu hadi unakuwa obsessive. Tuwekee video tuone! Watu waaamue; vinginevyo acha wivu.
 
Labda muda Ulikuwa hautoshi; usipende kum- judge mtu bila kupata taarifa. Kwani Yeye ni Mtendaji mkuu? Takwimu za nini ? Wewe inaonekana Una tatizo binafsi na huyo mama wa Kipare! Tangaza maslahi mapema tujue
 
Wale ni majambazi wà ligi Daraja la Kwanza.
World Vision walikwenda Haiti. Kule Haiti wanaamini voodoo pamoja na Ukristu. Walawaambia Wahaiti,"Kwa mini ninyi Wanaiti mnakuwa mafuska Sana na hii dini yenu ya voodoo. Soo vizuri namna hii. Acheni Mambo hsya au Mungu atawaadhibu. Acheni ufuska au mtaadhibiwa na Mungu.
Colabo,nakwambia Vatican,CIA na World Vision wakashirikiana kupeleka AIDS Haiti. Nonaposema "AIDS",nina màna ukimwi,siyo msaads.
CIA Director,sijui alikuwa nani wakati ule. William Colby,nadhani,alipiga kambi katika Dominican Republic,ambayo inapakana Haiti. CIA Chief alikuwa anakaa katils Dominican monastery amevàa Dominican monk's garb.
AIDS imepelekwa na meli kutoka Florida,imepakiwa Florida latika container clearly marked "World Vision".
Why do I waist time writing this. No one will believe me.
Hakuna maana kujidai mjanja halafu kudukuliwa wiki ijayo.
Aisee!
 
Ndio maana hata Makamu Mwenyekiti wa Bodi Victoria alipata ujumbe wa Bodi ya World Vission kwa connection wakati kichwani hamna kitu ni upepo tu!!!
dada maarufu kwa robbing, hana lolote....ni mtu wa njama njama sana
 
Back
Top Bottom