Miaka 4 ndani ya ndoa na watoto 2

Miaka 4 ndani ya ndoa na watoto 2

Kurunzi

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
10,175
Reaction score
11,572
Wanabodi tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita sitaishau kwenye maisha kwani ni siku niliyofunga ndoa na mke wangu mpendwa mrs Kurunzi nakumbuka ni mwaka mmoja baada ya kuwa member kamili hapa bodini.
Munguu mkuu katika miaka hiyo mnne tumebarikiwa kupata watoto wawili a girl 4yrs and a boy 1.5yrs.
 
Huja kkosea kweli. Ndoa 4 years.
First born 4 years ina maana mrs kurunzi ulimwoa akiwa na mtoto. Ulichagua vema maana hukutaka kuoa tasa.
 
Hongera sana, unaendelea vizuri sana na kazi......Four years two kids!!!!!
 
Hongera sana na Mungu azidi kuwajaalia baraka zake katika maisha yenu ya ndoa.
 
Wanabodi tarehe kama ya leo miaka minne iliyopita sitaishau kwenye maisha kwani ni siku niliyofunga ndoa na mke wangu mpendwa mrs Kurunzi nakumbuka ni mwaka mmoja baada ya kuwa member kamili hapa bodini.
Munguu mkuu katika miaka hiyo mnne tumebarikiwa kupata watoto wawili a girl 4yrs and a boy 1.5yrs.

Cheers jipongezeni kwa hatua mliyofikia, lkn miaka mine bado michache sana!
 
Kwa maisha ya sasa minne ni mingsana na mungu akubariki tulia na huyo mkeo utafanikiwa.
 
so what sasa...i mean...tufanyaje.....lots of people wako kwenye ndoa for lots of years na wana lots of kids....:ranger:
 
Ongera ila safari bado ni ndefu hapo bado hajakulaza njaa kwa makusudi kwa vile unachelewa kwenye michepuko.
 
Safi sana mungu azidi kulijenga na kulidumisha penzi lenu na upendo wa familia yako udumu milele
 
Huja kkosea kweli. Ndoa 4 years.
First born 4 years ina maana mrs kurunzi ulimwoa akiwa na mtoto. Ulichagua vema maana hukutaka kuoa tasa.

Mkuu si unajua ndoa ni kama safari ndefu lazima upime kama oil ipo na inatosha loh
 
Back
Top Bottom