Miaka 35 ya CCM: JK, Nape, CCM kuburuzwa mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 35 ya CCM: JK, Nape, CCM kuburuzwa mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by najua, Feb 6, 2012.

 1. n

  najua JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  katika sherehe za ccm zilizofanyika katika viwanja vya ccm kirumba jijini mwanza na kuonyeshwa na star tv . watu wanaokadiriwa 100,000 walihudhuria sherehe hizo (makisio na taarifa ndani ya jf) . idadi hii ni kubwa zaidi ya uwezo wa uwanja huo wa kuchukua watu 20,000 , idadi ya watu walioingia katika uwanja huo ni mara tano zaidi ya uwezo wa uwanja halisi .hivyo basi natarajia kufungua kesi mahakamani dhidi ya jk, nape , na ccm hii ni kutokana na kuhatarisha usalama wa watu waliohudhuria sherehe hizo kwa kuzidisha idadi ya watu katika uwanja huo kupita uwezo wa kiwanja chenyewe . tabia hii ya kuzidisha idadi ya watu imeliingiza taifa katika matatizo makubwa ikiwamo ajali ya mv spice icelander huko nungwi , mv bukoba , na ile ya watoto waliofariki katita disco toto huko tabora(kama sijakosea). ambapo maafa hayo yalisababisha vifo na wahusika walichukuliwa hatua kwa njia moja au nyingine ikiwamo kufikishwa mahakamani, katika kuhakikisha sheria za nchi zinafuatwa basi ni lazima kila mmoja kuwajibika na kuwajibishwa kutokana na nafasi yake. naomba kukaribisha maoni ili kuwezesha sheria kufuata mkondo pale kesi itakapotinga mahakamani
   
 2. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kweli wewe umekosa chakufanya kwani nape na jk ndo ccm? Na kama hayakutokea maafa mahakani unaenda kuripoti maafa yapi? Na tena una ushaidi upi wa kubitisha kwamba kiwanjani mle kulikuwa na watu 100000? Nani kakudanganya kikatiba Rais anapelekwa mahakamani? Ushauri badala ya kuwafungulia kesi ya kijinga namna hii, tumia uwezo ulio nao ukawafungulie kesi ya kuhujumu uchumi wetu na matumizi mabaya raslimali zetu huko serikalini, pamoja na mateso tunayoyapata kutokana na ccm kushindwa kuwalipa madaktari huku wakitumia vibaya pesa za kodi zetu. Hapo nitakuu mkono 100 x 100.
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  nadhani mleta hoja ameikosea kidogo tu.
  Mshtakiwa ni CCM kama taasisi, ingawa mchakato wa kesi unaweza kubaini makosa mengine ya ki-individual, yakafunguliwa mashtaka tofauti. Kesi ya msingi ni matumizi mabovu ya mali ya umma (wana CCM) na kuhatarisha maisha wa watu.
  Therefore, I support the movement!
   
 4. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ukijua ya kulia mwenzako anajua ya kushoto. Yaani jamaa aliyejitapa kuwa mkutano wa CCM katik siku ya kuzaliwa umevunja rekodi alifikiri kuwa anajigamba kumbe anajichongea, kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeh.
   
 5. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ok! Angalau hapo umeweka vizuri, kiongozi. Ila hawa wajamaa hata ukiwapeleka mahakani hakuna kitu, ndo maana kipenzi chetu chadema hawatakagi mambo ya mahakama za humu nchini coz zinasimamiwa na ccm, kuhujumu haki kwa kutumiwa vibaya. Chamsingi Jk akishatoka madarakani mfungulini kesi ya kuhujumu uchumi kwa safari zake za inje ya nchi zinalo lifisi taifa.
   
 6. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  umesahau na ICC.
  Uhalifu v/s binadamu, si unakumbuka ya Arusha?
   
 7. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  duh! Hilo nalo neno kiongozi' pia hivyi majuzi nilipata habari kwamba Mkapa nae anapelekwa huko kwa kwakuwa ua Wapemba. Haya wacha tugange macho, kama yakifaniwa haya itakuwa nafuu kwetu, sisi wanaharakati wa ukombozi wa pili wataifa letu, linalomilikiwa na wakoloni weusi wabaya african.
   
 8. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ovyo, huu ni wivu chadema walifikri CCM hawtapata watu wakidhani mwanza.baada watu kufurika ccm kirumba mmebaki mnatapata mara mshitaki nape jk Mara ccm. Hivi kwenye maandamano ya chadema huwa mnawakatia ticketi wale vijana wenu wa viroba.
   
 9. D

  DOMA JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Laki moja hao ni watu au kuku maana mtoa mada nadhani hujui idadi ya laki moja
   
 10. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  wewe ndio kiroba cha bangi kabisa, yako wapi maisha bora kwakila mtanzania? Ama hari mpya yenu ni kujiongezea posho wenyewe? Maana maisha bora kwa kila mbunge na sio kwakila mtanzania? Madaktari wamegoma nanyi mkafanya mgomo wa kumgomea kikweti ula imekula kwenu nakuambia? Kwa tarifa yako ningekuwa na ufadhili ningeanzisha harakati za mapinduzi. Kuung'oa huo utawala wenu wakiuonevu, wa mapepo na mashetani Ccm, mnyonyaji wa damu za watu, na mfujaji wa jasho la wanyonge, Mungu yupo na atafanya njia pasipo na njia yetu ni sala na maombi pamoja na kushukuru haja zetu anazijua Mungu.
   
 11. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mhh. Mtoa mada hapo kweli sasa unaonyesha wewe ni mwana Upinzani au mwana sisiemu uliechoka sasa na wewe unataka kuambulia machache, haya peleka mahakamani.
   
 12. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Uwanja wa Nou Camp wa barcelona wenye ghorofa za mzunguko nne unaingiza watu elfu tisini..nataka justification ya uwanja kama kirumba wenye ghorofa ya round moja tena round yenyewe fupi yenye uwezo wa kuingiza watu elfu ishirini umewezaje kuingiza watu elfu tisini???.. Na je kama justification ni pitch, je pitch yenye urefu wa mita 100/70 inaweza kuingiza watu 80000???.. Nikipata majibu haya then nitamuunga mkono mleta mada tuende mahakamani..la sivyo nitamchukulia kama dekio/kanjanja la kawaida la CCM ambalo uwezo wake wa kufikiri na kureason umefikia mwisho as usual.
   
 13. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  tena mtoa mada kajifunga mwenyewe kwa kusema (inakadiriwa watu 100000) kitu cha kukadiriwa mahakani kitakutoa out coz hakina mshiko. Nikama unafanya arusi alafu kamati ikuulize unakadiria kuwa na wageni wangapi? Unaweza sema laki moja na wasije wakaja 500.
   
 14. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona unachanganya sasa. Ina maana hii kesi unayotaka kuifungua unaachana nayo au?
   
 15. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Samahani mkuu, marekebisho kidogo. CCM Kirumba una uwezo wa kuchukua watu 40,000 siyo 20,000
   
 16. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  siku hizi hata wajinga wanaweza kufungua kompyuta basi akiota upupu wake anakuja kuuharisha hapa JF.
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  nA HAO NI WANAOKAA majukwaani tu...wakati wa mechi za mpira.kwenye sherehe kama ya jana watu wakaa hadi katika eneo la uwanja hivyo carrying capacity inaweza kuwa zaidi ya 40,000
   
 18. chuki

  chuki JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,691
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kidumu chama cha mapinduzi.
   
 19. W

  Wasusujane Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 25, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  pole kwa kutojua usemayo, watu wamesombwa toka wilaya zote za Mkoa wa Mwanza na mikoaya jirani kwa mallorina mengine yamezibwa mpaka juu kama vile ng'ombe, kama wanadhani wana influence kiasi hicho waitihse tu mkutano ili watu waj wenyewe ila vikolombozwe vya wasnii akina sumarii, tot, vicky kamata, huo ni usanii wa kujidanganya weyewe, ukweli wanaujua. Fuatilia kilifuata nini jioni watu walitamani kutupa sare zao za chama maeneo yote yanayozuguka Kirumba baada ya mkutano kwa jinsi walivyokuwa wanazomewa.
   
 20. d

  davidie JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi mtu akiwa mwehu unaweza kumuonea wivu? hao watu wenyewe mmewabeba kutoka sehemu mbalimbali sasa cdm ione wivu wa nini?
   
Loading...