Miaka 33 jeshini nakubalika?

Nenda kajiunge na jkt nafasi zake huwa zinatangazwa...Kama utakuwa na sifa utaomba....

N.b
Jifunze historia ya jkt kuanzishwa kwake,malengo yake na mpka Sasa ilipofikia niliwahi kuulizwa Hilo swali nilijibu kwa ufasaha mengine ni kumuomba mungu huko mbeleni.
 
haya mambo mda sio mrefu najichomoa, tafakari kuna tatizo alafu mnaenda kumudhibiti anaelisababisha, huyohuyo wenda kajipanga kama wew au zaidi yako tena ukute una stress za hapa na pale dah.

 

umri siyo kikwazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…