Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,721
Wanabodi,
View: https://youtu.be/OSGYViDqx8Y
View: https://youtu.be/oqwZRhin8ek
View: https://youtu.be/EEMSp2L7MZk
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Karibuni Sana!.
Paskali
View: https://youtu.be/OSGYViDqx8Y
View: https://youtu.be/oqwZRhin8ek
View: https://youtu.be/EEMSp2L7MZk
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo.
Hii Makala yangu kuhusu Maadhimisho ya Miaka 30 ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA, kiukweli kabisa, VETA imefanya makubwa, mazuri na ya kupendeza kwa Tanzania.
Natoa wito kwa Wana JF, kuanzia Jumanne hadi Ijumaa, tujitokeze kwa wingi, katika Viwanja vya JNCC, kwenda kuyashuhudia makubwa hayo ambayo VETA imeyafanya.Hivyo haya yote makubwa, mazuri, yanayoendelea kufanywa ndani ya VETA, yasingewezekama kama Sio Rais Samia kwa bold decisions kujenga vyuo vya VETA, kila Mkoa na kila wilaya, Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, sio tuu kwa kuikubali VETA, bali KuuVETISHA mfumu mzima wa elimu nchini kupitia mtaala mpya wa elimu, ambapo sasa unajumuisha mafunzo ya amali (ufundi), Mwenyekiti wa Bodi ya VETA, Prof. Sifuni Mchome, Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Kijana CPA Anthon Mzee Kasore, Menejimenti, na Wafanyakazi wote wa VETA, wanastahili wapewe maua yao!, kwa kuifikisha VETA hapa ilipo.
Kuanzia kesho siku ya Jumatatu mpaka Ijumaa, itakuwa ni wiki ya VETA, macho na masikio yetu yote tuyaelekeze katika maadhimisho hayo, yatakayo fanyika katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam,Karibuni Sana!.
Paskali