Siwez oa sitak mchumba mm n single mpaka kifo.uzur mm n msomi nimesoma had chuo kikuu udsm. Maisha yangu naitoa kuwaangalia wazazi wang wanionilea.sio mwanamke ambaye hana uchungu na mimi.
Wazazi wako hawakupigii kelele uoe? Unaongea kutoka moyoni au unatania? Usipooa utapata wapi watoto kuendeleza uzao wenu? Ina maana huna hamu ya kupiga shoo? Au utakuwa unapiga shoo za short time?