Miaka 30 Bila Ramani: Hujafa, Lakini Umechoka

Miaka 30 Bila Ramani: Hujafa, Lakini Umechoka

Kwa hili Ww ni mfano wa Baba Bora.
Na mfano wa Wanaume wanaohitajika kwenye jamii.

Ilikuwepo hii toka zaman, baba zetu na babu zetu waliwatunza sana watoto hasa wa kiume.
Kuwapa mashamba, na asset nyingne.
Ila hapa katkat, kuna wababa wamesoma wakaelimika, na wao wakasomesha pia .

Ila sasa Kuwarithisha watoto hawana huo mpango,
Wanasema nimekusomesha.(ndio urithi wako🙃🙃🙃)

Elimu hii kuna namna inaweza isimtoe/kumtoa huyo msomi (hata kama ana akili au hana )

Plan A iwepo,
Plan B na C iwepo,
Kama baba yetu alivyotulea na mimi najitahidi kuwapa wanangu zaidi
Haijalishi hata akiwa na miaka 40 akija kuniomba kitu siwezi kukataa ila mimi sihitaji sana kwao
Labda zawadi mara moja moja

Hilo pia ni moja ya upendo hata kama ni handkerchief
 
Age is just a number thread za kijinga Kama hizi ni trash (taka taka)

Unamzungumzia kijana aliyesoma with his efforts na akawa Jobless .

Unashindwa kuelewa mazingira yakibongo yakoje unaaandika upumbavu sana
 
Age is Real bro.

Na pia kabla hujanijibu, hebu tulia na soma tena mtoa mada ametoa hoja gani.

Ndio utagundua pia na kuelewa age ina maana sana kama kuna mambo fulan hayajaenda sawa.

Na ndio maana Kijana wa 20's hawez kudefense namna mwenye 40's atakavyodefense hii hoja...

AGE is REAL deal

Pengne (sijui) in your 20's na ushaur kama huu wa Rorscharch ungeuona na kuufuata mambo yangekuwa mengine (sina uhakika pia).

Ukiambiwa age is just a number haimaniishi age is not real.

Age is just a number means you can beat the odds at any time .

Mfano umezungumzia Familia .

Jay Z kaoa Ana miaka 38 na kapata mtoto Ana miaka 40.

MTU Kama KFC katoboa na miaka 60s

So kuwa na familia , Biashara , Kazi n.k

Muda wowote unaweza kupata hivi haijalishi umri wako.

Jamii za kiswahili zipo polluted zinaamini wote wakifika 30 wanabidi kuwa na familia , Kazi , Biashara n.k

Kitu Kama hiki hakipo everyone atafanikiwa kivyake na kwa wakati wake
 
Maisha hayana formula mkuu, mim wakat najitafuta huko mererani kwa marehemu Erasto kuna watu walikuwa wanamiliki mabilioni, ila sasa hawana kitu na kuna watu wazima kwenye 50s ndio wamejipata saivi. Umri ni namba tu unaeza fanikiwa ukiwa mdogo, kijana, mtu mzima au hata uzeeni. Chamsingi nikuendelea kupambana.
N.B JAY Z AMEPATA MTOTO WA KWANZA AKIWA NA 40 same to J Lo na Mariah Carey.
Ni kweli mkuu. Kuna mifano mingi sana ya rafiki zangu walianza vizuri miaka ile ya 2010 lakini sasa hivi wanapumulia gesi, hali tete.
Maisha hayana formula
 
Back
Top Bottom