Rudi nyuma tafuta video Magufuli anafafanua huo mradi na vipengele vyake, au kuna nyingine ya Kakoko na waandishi wa habari akifafanua huo mkataba wa wachina ndio utajua kwanini aliupiga chini
Nakumbuka alisema ni mwendawazimu tu ndio anaweza kukubali limradi kama lile