Miaka 26 na nilivyowaelewa Wanawake.

Wanawake wanataka Ndoa na Harusi tu. Pia kitu kingine cha mwisho wanachotaka ni kuolewa ili awaringie wenzake nae pia aondoe mkosi. Wanaume wanataka watoto na papuchi basi hawa ni kwa wale waelewa.

Hivo basi malengo ni tofauti sana. Kikubwa jomba tambua nafasi yako ili upate ukitakacho atakacho mwenzako mpe kampeni ila ukishinda mpe moyo kuwa bado kuna nafasi tu ya kumpatia haki yake. Kikubwa jifunze kwa serkali ya ccm utafaidi sana
 
hahaaaa
 
Tangu lini mtoto wa miaka 26 akawaelewa wanawake? ukute zake ni students tu, kuoa hajaoa hlf mnamuamini
Miaka 26 baba huyo eti mtoto unaweza kukala naye chumba kimoja?
 
Mwanaume umri ukiongezeka anajitambua mwanamke umri hauna faida kwake kiakili zaidi ya kumuharibu umbo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…