[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu! Basi wewe unafaa kumpa mtoa mada jibu, utakuwa unawafahamu wanawake vizuri
La saba umemaliza mwaka gani?
Mweeee wewe utakuwa dogoHahaha naona wajukuu zangu mnatambiana nani amepata mlo wa chumvi nyingi.
Sio vizuri hii wiki imekua too much nadhani mashambulizi mtakayorudisha tutanywea
Mwache aendelee kujifunza wenzie miaka 26 tulikuwa tunapeleka wake zetu clinic ya fast track muhimbili yeye leo anavimba anawajua wanawake vzr
Huwezi fahamu mwanamke anataka nini kama wewe mwanaume hujui unachotaka.
Wala hujakosea nikivaa unifomu, begi pamoja na vihesabio nakua la pili "B"kabisa.Mweeee wewe utakuwa dogo
Ukute katembea na videnti viwili kaona ameshapata experience
Huwezi fahamu mwanamke anataka nini kama wewe mwanaume hujui unachotaka.
Enzi za mkwere
Wanawake wa kisasa hawaeleweki mm kuna dada kaniibia mtt ipo cku yule binti atakuja kumtafuta baba yake wa kweli tu
Ntakujibu kesho [emoji6] 00:00
shikomoo shangaziUtashangaa huyo binti mwenyewe anaanza kukutafuta ngoja akili yake imkae sawa. Ni kosa kubwa amefanya
shikomoo shangazi
Utashangaa huyo binti mwenyewe anaanza kukutafuta ngoja akili yake imkae sawa. Ni kosa kubwa amefanya
unamwaga hovyo hata kwa udongo mbovu labdaHamna kitu kinauma km kuibiwa bao lako
Wanawake wa kisasa hawaeleweki mm kuna dada kaniibia mtt ipo cku yule binti atakuja kumtafuta baba yake wa kweli tu
Hamna kitu kinauma km kuibiwa bao lako
Loh!..hela ya kampeni ya kikwete 2005 nimemnunulia demu wangu aneth cheni ya gold
Sasa utaweza kulea si bora kakuibia tu mkuu