Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Wana JF,
Habari za asubuhi.
Mimi nimeoana na mke wangu na sasa tuna zaidi ya miaka 22 ktk ndoa. Wakati namuoa kipato changu kilikuwa kizuri sana, wakati yeye alikuwa mfanyakazi wa kada ya chini, alikuwa ananipenda na kuniheshimu sana, ila sasa kipato changu kimetoweka na yeye amepata madaraka makubwa ameanza kunidharau.
Nikimkosoa anasema nipe talaka yangu niende kwetu. Haishi kuninunia kila kukicha na tayari tuna watoto sita, nifanyeje?
Naombeni ushauri. Tumefunga ndoa ya kikristu.