meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
CCM mwaka huu itabidi mtage!
Kwa hiyo CHADEMA baada ya kumtumia Lowassa na kuisambaratisha CCM watakuja kumuua kama Marekani walivyomuua Osama?Hata Marekani ilimtumia gaidi Osama Bin Laden kuisambaratisha Urusi. Iwapo Lowassa ana uwezo wa kuisambaratisha CCM ni lazima CDM wamtumie! Lengo ni kuing'oa CCM madarakani! Siasa ni strategy na hii ni fursa nzuri ya CCM kufa hata kama ni kwa mbinu chafu! Mengine baadae!
Ccm leo siku mbaya sana kwenu.Hamuamini macho yenu kama mamvi anaondoka kiulainiiiiiiiii
Acha kujidanganya dogo
Hatuna haja ya kubishana tukajiandikishe alafu tukutane oktoba .
Sasa hivi ni goli la kichwa tu linatosha
Teh teh teh.....mwaka huu mtakufa wengi kwa presha! DahPiga chin CDM ni chama cha matapeli. Ni chama cha akina Yuda. Zitto walimfukuza ona sasa wao wamekaribisha mwizi
Mkuu siasa sio kabila, kwamba hubdilika na wakati, hoja za ulaghai unazileta wewe uliekuwa unampigia kampeni makongoro usiku namchana........... amekatwa na amejidhalilisha maana alikuwa nakamilisha mission iliyofel ya kutaka kumuingiza Membe Ikulu........ wapinzani wana kazi moja tu.. kuitoa CCM madarakani..hicho kichaka mlichojificha mtajitokeza wote... mmezoea upinzani dhaifu, mwmembamba..sio mwaka huu... mtaanguka vibaya na mtajuta sana....Yetu macho.