Miaka 20 ya internet: Una lolote la kuchangia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 20 ya internet: Una lolote la kuchangia?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Edo, Feb 2, 2012.

 1. E

  Edo JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  [FONT=&quot]Hi everyone – As part of the Internet Society’s 20th anniversary celebration, we plan to highlight the biggest moments in the history of the Internet. We’d like to hear your ideas on the greatest innovations, achievements, and advancements that have contributed to the global Internet and its impact on the world. Think BIG![/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Please send me your ideas by Wednesday, 15 February. We will compile all the ideas and conduct several polls on our website to select the top 20. The final list of Defining Moments will be featured on our website and at the Global INET 2012 in Geneva. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Thank you for your participation! Regards, Wende[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Wende Cover, Director of Media and Communications Internet Society[/FONT]
  [FONT=&quot]1775 Wiehle Ave., Suite 201[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]Reston[/FONT][FONT=&quot], VA 20190[/FONT][FONT=&quot][/FONT]
  [FONT=&quot]+1 703 439 2773[/FONT]
  [FONT=&quot]cover@isoc.org[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #2
  Feb 2, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wengi wetu hapa tanzania tumeanza tumia internet mwaka 2000, yahoo, hotmail na worldsex.com ndio zilikuwa zenyewe wakati huo! By that time matumizi makubwa yalikuwa mawasiliano. Ikumbukwe hi5 ya wakati huo ndio facebook ya leo. Hata ikafika 2004 kuelekea 2005, hapa ndipo celtel ya wakati huo ikatuletea wap, Kama kawa mawasiliano yakaboreshwa, tukapata mig33, waptrick bila kuisahau phonerotica.com! Subiri subiri google ikashika hatamu yake, hapa ndipo tukaanza jifunza mengi na matumizi ya internet yakapanuka zaidi! Mabadiliko ya teknolojia yakapelekea tukaweza nunua hata bidhaa online na ikafika kwa usumbufu wa posta na kodi tra! Tunapoelekea internet ndiyo itayochangia kuitoa serikali ya ccm madarakani!
   
 3. mgt software

  mgt software JF-Expert Member

  #3
  Feb 2, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 10,727
  Likes Received: 1,634
  Trophy Points: 280
  1. internet imeongeza wizi wa mabenk,
  2. Imeongeza Umalaya, Ukimwi,
  3. Imeaharibu Vijana kwa kuangalia mitandao ya ngono.

  Mazuri.
  1. Imepunguza Uongao,
  2. Imepunguza gharama za mawasiliano
  3. Imeimarisha Ushirikiano kama Vile Twitter, JF, kujuana na kushauriana.
  4. Imewalazimisha wabunge wetu kujua computer kwani wangeachwa nyuma na kuonekana washamba.
  5. Ni nyepesi kutoa habari na picha kuliko magazeti.
  6.Imepunguza gharama za kununua magazetimengikama leo Mwanax kupanda kutoka 500 to 800 hivyo sinunui tena
   
Loading...