masikini maendeleo kwao ni mlo tu,Hatuli barabara sie
Maendeleo nini? Ni barabara tu? Mnona hujazungumza madarasa ya UVICO? Yenyewe siyo maendeleo?Huyu rais anaturudisha nyuma kimaendeleo
Mtanikumbuka!
Honestly hata hapa Dar huku kitunda hamna hata barabara moja ni mashimo kila kona!Kwani ametaka kwenda wapi akakwama kwa sababu ya barabara?
Uzuri ni kwamba Chuma mwenyewe alisema mtanikumbuka sio kwa mabaya(kumbe alijua anayo mabaya)
Bali kwa mazuri
Kwa nini pesa za uviko zipelekwe kujenga madarasa badala ya kuboresha hosipitali?Mafungu yaliyotengwa kwa madarasa mlipeleka wapi hizo pesa hadi mnatumia za UVIKO?Maendeleo nini? Ni barabara tu? Mnona hujazungumza madarasa ya UVICO? Yenyewe siyo maendeleo?
Hicho chakula kiko wapi sasa?Hatuli barabara sie
Barabara zote za mbweni zimejengwa na zimekamilika.Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.
Je kwa mwendo huu tutafika? Je kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?
Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.
Je tuseme serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Barabara hazijengwi kwa wiki...Kutokana na report ya CAG, toka mwaka 2021 hadi sasa hakuna barabara mpya yoyote ambayo imejengwa ukiacha zile zilizo achwa na Rais Magufuli.
Je kwa mwendo huu tutafika? Je kwa kasi kama hii miji mikubwa kama DAR kutakuwa na foleni ya kiasi gani ikizingatia ununuzi wa kasi wa magari?
Mambo ni mengi muda mchache, mabango ni mengi kuliko miradi yenyewe ya maendeleo.
Je tuseme serikali imekosa kabisa fedha hadi kushindwa kutenga fedha za barabara.
Wewe team nape imekuaje Tena?Trilioni mbili na ushee za barabara zimepigwa na Tanroads.
Sasa hivi ni wakati wa kujenga matumbo.
Yarabi stara.
Kwa roho mbaya kama shetaniMtanikumbuka!
Hatuli barabara sie