Miaka 15 ya kifo cha Horace Kolimba

Na Nyerere alikuwa hai enzi hizo. Hamna kitu kinachekesha kama wapinzani Watanzania wanavyompamba Baba wa Taifa na demokrasia kama vile hiyo demokrasia ilikuwepo enzi za Nyerere.
 
Na Nyerere alikuwa hai enzi hizo. Hamna kitu kinachekesha kama wapinzani Watanzania wanavyompamba Baba wa Taifa na demokrasia kama vile hiyo demokrasia ilikuwepo enzi za Nyerere.
Nyerere hakuwa na cheo chochote wakati huo.
 
Nyerere hakuwa na cheo chochote wakati huo.
Nyerere huyu huyu aliekuwa na uwezo wa kuchagua Rais wa Nchi kwa kauli yake tu ndani ya mikutano ya CCM au umechanganya na Steven Nyerere.
 
Natumai ni wazima wote.

Leo ninaomba nijuzwe, maradhi gani yaliyompata aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM (Chama Dola) komredi Horace Kolimba mpaka kufikia kupoteza maisha ghafla. Kuna wanaosema alipatwa na Malaria kali ya ghafla na kuna wanaosema alipatwa na taifodi, mchana ule akiwa Kizota, Dodoma kwenye utetezi.

Wote tunajua, Ukiwa kiongozi wa CCM hasa kwa nafasi ya Katibu Mkuu, ni mtu mzito sana katika nchi hii. Sasa ni takribani miaka zaidi ya 22, toka afariki dunia pale Dodoma, je ni maradhi gani yalikuwa yanamsumbua mpendwa wetu?
 
MaCCM yakitoana roho sijari. Ni kizazi cha shetani hao wote.
Magufuli kama itampendeza ale tu kichwa cha Bashiru abaki na Chakubanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…