MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,964
- 14,578
Una ushahidi ? Watu wengine mnaitafutia serikali lawama ,wangapi wamesema makubwa ndani ya bunge na hadi hii leo wapo ,yaani ukiwa bungeni huwezi kufikiwa na kifo au na maradhi ya ghafla na kupoteza uhai ???
Na pia alikuwa ni victim wa maradhi ya kisasa
Mzimu wake utaendelea kuitafuna CCM daima.
Walikufa Wengi, Kina Charles Kabeho,Kighoma Malima, Amrani Mayagila, nk..long time
Walikufa Wengi, Kina Charles Kabeho,Kighoma Malima, Amrani Mayagila, nk..long time
Na pia alikuwa ni victim wa maradhi ya kisasa
Horace Kolimba alianza kuropoka, kumbe ccm walivyochunguza wakabaini alikuwa anawasiliana na Oscar Kambona miaka mitatu iliyopita. Na kwa nafasi ya Kolimba ndani ya ccm ilikuwa nzito sana, na siasa za ushawishi wa Oscar Kambona zilikuwa za mapigo ya hali ya juu, japo mzee Kambona alikuwa ashazeeka na hana nguvu. Kambona naye alikufa mwaka huo huo 1997, baadaye nyerere akafuatia 1999.