Nikupateje
JF-Expert Member
- Dec 22, 2009
- 1,334
- 990
Leo ni March 13, 2012 ambapo tarehe kama hii kuanzia mida kama hii, Horace Kolimba alifariki ghafla saa chache baada ya kuhojiwa na NEC ya CCM kuhusu matamshi yake kuwa "CCM imekosa dira".
Tunapokumbuka siku ya leo kihistoria, basi tukio hili la kifo cha Kolimba haliwezi kuepukwa na ni kazi yetu kuweka sawa historia kwa kuikumbushakumbusha usahihi wake kama hivi.
Idumu mitandao kama JF inayofanya tuweze kufanya hivi.