Miaka 15 tukiwa Ikulu. Inshallah

Miaka 15 tukiwa Ikulu. Inshallah

Usisahau wa tatu alikuta kapu tupu akalijaza, wa tano naye alikuta kapu tupu. Si unawajua wanachojua kushinda vibarazani
Ungejipa shida kidogo kujua wa pili alikuta nini,hadi hela ya mishahara hakuna,akawaacha watanzania wafanye biashara,alipoona wameanza kuingiza kipato,akaanzisha TRA 1995
Huyo wa tatu kwa akili zile angeachiwa awe wa pili,tungekua shimoni sasa hivi
Wa nne ndipo watz walipojua kufanya biashara na kumiliki mali,walijenga majumba,nchi ikapitika kwa barabara za lami,kusoma chuo kukawa siyo hekaya tena
 
Haha umeona jibu lako ulilonijibu mwenye thread ulianzishie uzi kabisa. We pray for Dkt Samia ila ahakikishe maslahi ya wapiga kura anayazingatia na siyo kuajiri wenye majina ya kiislamu kwenye taasisi za umma halafu wanaenda na majina ya kikristo huku wanaenda msikitini. Na hii campaign ya kuifanya Tanzania dola ya kiislamu na mbinu za kutokomeza Ukristo ni mbinu chafu inaweza leta shida huko mbeleni
Tufanye sensa ya dini kwenye ajira serikalini,tukikuta upogo tubalansi, unasemaje?
 
Mzanzibari anaweza kuwa Mkuu wa wilaya ndani ya ardhi ya Tanganyika ila Mtanganyika hawezi kuwa hata Mtendaji wa Kata huko Zanzibar,,
Mpemba anaweza kuchaguliwa akawa Diwani, Mbunge au Rais huku Bara,, ila wewe Mnyamwezi huwezi hata penya Kura ya Maoni huko Zanzibar...
Kulalamika ni sehemu ya utamaduni wa wabongo wengi.

Mbona Hussein Mwinyi na Baba yake ni wa Mkuranga na wamekuwa hadi maraisi Zanzibar?
 
Huo ung`amuzi niliufanya kabla ndo maana nikaandika "ardhi" nilijua "vilaza" kama nyie wadandia treni kwa mbele hamkosekani humu...
Akili huna,unapolalama wazenji kupata uteuzi bara na wabara kutopata teuzi smz,ni moja kwa moja unazungumzia serikali na si ardhi
 
Mzanzibari anaweza kuwa Mkuu wa wilaya ndani ya ardhi ya Tanganyika ila Mtanganyika hawezi kuwa hata Mtendaji wa Kata huko Zanzibar,,
Mpemba anaweza kuchaguliwa akawa Diwani, Mbunge au Rais huku Bara,, ila wewe Mnyamwezi huwezi hata penya Kura ya Maoni huko Zanzibar...
Muungano uvunjwe
 
Rais Ali Mwinyi aliongoza Zanzibar akiwa na asili gani?
 
Hongereni, wagalatia wanakwama kwa sababu ya ubinafsi wa Kanisa. Wanaona ili waendelee kuila na kuitafuna nchi hii lazima Waccompromise na wavaa kobazi. Na wavaa kobazi wanajua kabisa akili za kuongoza hawana lakini lazima wapewe tu hijo hiyo.Ndiyo maana wakiongoza fulu kufuja mirathi. Matatizo ya Nchi hii mzizi ni ubinafsi wa Kanisa.
Na tatizo kubwa zaidi ni kanisa flani kujiona mtu (muamini) wao ndo mwenye haki ya kushika nafasi ya uCEO wa kampuni yetu
 
Baba yake Ali Hassan alifia Mkuranga, aliyehamia Zanzibar ni Ali akiwa kijana mdogo na alipelekwa kwenda kusoma dini kule but opted to do teachers training, and the rest is history. Refer his Wikipedia Ali Hassan Mwinyi - Wikipedia
ZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZZ.png
 
Back
Top Bottom