SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 2,603
- 4,028
Nani mwenyeji Zanzibar kwani? Kule wengi wahamiaji tena wa miaka ya karibuni kama hao akina Mwinyi..Haibadilishi ukweli kuwa kwao ni Mkuranga, wala sio Zanzibar.
Halafu hoja yangu ipo kwenye ukazi wa sasa na wala si asili ambayo we unang`ang`ania,, kama ni asili basi hata hii Tanganyika karibia nusu wote wakuja...