Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 1,894
- 2,420
Mungu wa ajabu wew, cha kushangaza wapo watafka. kuna mbib kafariki mwez uliopita alikua kafikisha miaka 115 na alikuaga anatembea sema miguu tu ndo ilivimba. Na kushindwa kutembeaHakika. Wenye miaka 30 kwenda juu hatufiki 2126