Miaka 100 ijayo tulio hai leo tutakua tumefariki

Miaka 100 ijayo tulio hai leo tutakua tumefariki

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
6,244
Reaction score
7,723
Miaka 100 kuanzia sasa yaani mwaka 2126 sisi tulio hai leo, hatutakuwepo kwenye uso wa dunia.

Kwa takwimu za mwaka huu, dunia ina watu takribani bilioni 7.8. maana yake miaka 100 ijayo dunia itakua imemeza watu wote hawa
 
Thread za namna hii mara nyingi huanzishwa na watu ambao kwa namna moja ama nyingine wanapiyia wakati mgumu sana Depression or Stress nakushauri tafuta mtu au angalia namna ya kuwaza kifo.
Kifo kipo tu
Nakumbuka warumi alikuwa member active sana humu kumbe muda huo alikuwa anaumwa sana hadi umati unamkumbuka akiwa hospital

Leo upo ujue kesho utaamkaje
 
Alipofariki ndipo wengine tukafahamu kuwa hakuwa mwanamke na kwamba alikuwa anakwenda mpaka kuchungulia madirishani mwa watu ili apate ubuyu wa kuleta JF.
 
Kwanini nipokonye uhai wa mtu ingali na mimi nitaenda kwenye ameenda.

Sihitaji kuandikwa kwenye historia mkuu,nahitaji kuandikwa kwenye mioyo ya watu mpaka nao watakapo kufa.
Watu wachache sana wanaelewa na kufatilia vituo vya watoto yatima,so utakuwa kwenye mioyo ya watu 10 tu bro,ambao nao pia watakufa na utasahaulika kabisa!!!
 
Watu wachache sana wanaelewa na kufatilia vituo vya watoto yatima,so utakuwa kwenye mioyo ya watu 10 tu bro,ambao nao pia watakufa na utasahaulika kabisa!!!
Hata ukisahaulika na dunia, athari uliyoacha kwa hao 10 haiwezi kufutika,maana ya maisha haiko kwenye kukumbukwa na wengi, bali kugusa hata moyo mmoja kwa kweli
 
Leo hii jina lako likiitwa unaitika na watu tukilitaja jina lako tunamaanisha ni wewe, ila ipo siku hilo jina lako likitajwa halitakuwa linamaanisha wewe bali atakua anatambulika mtu mwingine.

Hapa chini ya jua tutaacha vitu vingingi sana ili na wengine waje kuvitumia
 
Back
Top Bottom