Miaka 10 yangu marekan

Joined
Feb 16, 2019
Posts
75
Reaction score
53
2008 to 2019
Asante mungu wangu kwa mafanikio ulio tupa familia yangu leo baba angu ni mwalimu mkuu mama anamiliki kituo cha kulea watoto a.k.a DAY CARE yani kwa life ya kiafrica sikuzan kama tunaweza fika apa tlipo Asante mungu akika ww ni wa rehema kwangu leo mm nina ndoto ya kuja kuwa lawyer nitakaye simama mbele ya wazungu nikikata kesi zao akika kama una mwamin mungu wako sema Asante ipo siku ndoto zako zita timia
 

Attachments

  • FB_IMG_1550678006397.jpeg
    85.3 KB · Views: 76
Hongera mkuu,uliwezaje kufika USA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…