Imekuwa miaka 10 ya mapinduzi ya sanaa Tanzania. Ameipa thamani sanaa ya muziki na wanamuziki wenyewe. Ameitangaza nchi na kuipa heshima. Anastahili kuwa Baba wa muziki nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dangote babalao..Simba baba lao.
Sijawahi juta kuwa shabiki wake since day one na ngoma ya kamwambie.
Ingawa Kuna wakati anatutolea nyimbo za ajabu huyu mmh..vizuri vyake navipenda vibaya abaki navyo mwenyewe..hongera zimfikie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimesema Diamond angegombea Urais 2020 angeshinda. Bahati mbaya hawa wazee walitubania vijana eti mpaka ufike miaka 40 na ngapi sijui ndo ugombee. Pia nimejifunza hawa wasanii wasijishushe kwa wanasiasa. Wasanii >wanasiasa.
Mimi 2009 ndio mwaka nilitoka kwenye kazi za kuajiriwa na kuanza kujiajiri!
Mimi 2009 ndio mwaka nilitoka kwenye kazi za kuajiriwa na kuanza kujiajiri!
Umemaliza kilakitu mkuu.Tatizo Tuna ushabiki Mandaazi Ilipaswa Kama Taifa Kusimama kumuunga Mkono Jamaa Ila u team Wakipuuzi Hadi Raia Wa Nje Wanatuangalia Tuna Akili gani Sisi Wa Tz Ipo Country Inatamani Huyu Jamaa Angekuwa Raia wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasafi tv na YouTube live kupitia wasafi mediaShow yake ya kigoma itaoneshwa kupitia channel ipi?
Show yake ya kigoma itaoneshwa kupitia channel ipi?