Miaka 10 ndani ya JF

Miaka 10 ndani ya JF

Hongera mkuu, miaka kumi humu lazima ujifunze mengi, ufundishe mengi lakini pia upate marafiki wengi.

Mzee hukuwahi "kupata kitu" ndani ya miaka hiyo kumi?
Nimepata "vitu" vingi sana mkuu
Hukuvuta ndani kabisa mkuu? Au ilikuwa 'one time'!!!
Ungemalizia hata kimasihara
Vitu nilimaanisha elimu, connections....mkuu ulikuwa na maana gani?
Aah sawa mkuu wangu.
@eli79 nimecheka mbavu sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom