Hongera sana sana sana inawezekana ukiwa na nia..Story za vijiweni ndo zinachangia wakaka wengi kutaka kujaribu kuchepuka ili na wao waonekane wamo. Faida ya kutochepuka ni kuishi kwa amani na kuepuka laana mikosi na magonjwa.
Hata biblia inasema mwanaume atateketea kwa kupend makahaba sijui?. any way adui namba moja kwnye maendeleo ya mwanaume ni wanawake. Ndo maana tunazidiwa na wenzetu wazungu wakiwa na mahusiano wana stick kwa mwanamke mmoja at least at a time ila huku mtu akiwa na ka hela tuu ka kubadili mboga wanawake kila mtaa.Kuna documentary moja ya Maisha ya Bill Gates anasema ili ufanikiwe unahitaji kutulia na mke mmoja! Sifikilii kuchepuka at all!.
Mkuu hata mm nakupa pongezi. Ila mbona kama umesha haribu sas.....!πππNadhani ninastahili pongezi! Tokea 2010-2020 nilipomtongoza kwa mara ya kwanza shemeji yenu sikuwahi kuchepuka. Katika kipindi cha miaka mitano ya kwanza nilikua kimasomo mbali na bongo hio kufanya niwepo nchini mwezi mmoja kwa mwaka na bado sikuchepuka! Hadi kufikia kuishi wote tokea ndoa 2013 bado sijachepuka. Asante mungu Mimi ni mwanaume mwaminifu najisifia mwenyewe. Wana JF Naombeni pongezi zangu.
Tatizo mko wengi, mnataka wengine wadinywe na wanyama?sisi kama wanaume tunajitahidi kuwaokoa wasisagane,tupewe pongezi zetu tafadhaliHongera sana sana sana inawezekana ukiwa na nia..Story za vijiweni ndo zinachangia wakaka wengi kutaka kujaribu kuchepuka ili na wao waonekane wamo. Faida ya kutochepuka ni kuishi kwa amani na kuepuka laana mikosi na magonjwa.
Pamoja na majivuno yako yote ya kutokuchepuka usikute mkeo wanamtafuna haswa nasema haswa kuonyesha msisitizo maana what you are doing doesn't guarentee the action of the counter part but keep up the faith sir