Sema ahsante....Habari za masiku tele mabibi na mabwana. Poleni na hongereni kwa shughuli za kuwaingizia kipato.
Kitambo nimekuwa kwenye mradi unaonifanya nilale masaa machache kati ya 24 na mengine nawajibika, uzuri ni mradi wenye ukomo na hapa karibia mwisho wa mradi hivo leo japo ni siku ya kazi kwangu nimeweka kituo kuburudika na kupunguza uchovu.
Rejea mada tajwa, kuna raha sana kuzaliwa mwafrika binafsi najivunia. Moja ya vitu napenda vya kiafrika ni kucheza ( ngoma, nyimbo, za aina na mandhari zote). Ila inapokuja kwenye kukata mauno aaah ndo mahali pake Kasie hapoo. .... shurti dera nilipandishe juu, nichutame kidogo usawa wa kiuno urudi nyuma kidogo halafu naanza bilinge bilinge taratibuuu kama sitaki huku nataka uuuh yangoyooo.
Raha ya kuzaliwa mwafrika ni kufurahia uafrika wangu, na kwasababu miafrika ndivyo tulivyo..... basi Kasie nayaendeleza mauno yangoyooo....
Haya ukinogewa na burudani hapo juu twende pamoja...
Unaanza kunengua huku unaringa kidogo yaani unakata mauno taratibuuu halafu unapeleka mikono yako kati kama unapiga makofi kisha unachetua mguu wa kulia hewani kwa upande wa kulia huku kiwiliwili unakiegema upande wa kushoto kiaina. Halafu unarudia kukata mauno taratibuuu kisha unakutanisha mikono yako kati kusema unataka kupiga makofi halafu unachetua mguu wa kushoto juu upande wa kushoto huku kiwiliwili kikiegema upande wa kulia kwa mbali. Unarudia zoezi lote huku ukifurahia na kutabasamu ukataji wa mauno yako....
Yangoyooo....
Miafrika Ndivyo Tulivyo.... (heheheh heheheee copy right mwenye signature yake) hata tuige vipi ya wazungu miafrika tunafanana tuu.... Yangoyooo.
Kasie Nyonda-ake mtufudenge.
Hahahahahhahaaa yemi aladee. .......
Papaa asantee kweli wee ni Mungu.
Sema 'Ngabu ahsante...kweli we kidume'....
Kasie katika ubora wake ila mmasai anakusalimia
Hivi app ya JF haina kile kidole cha kati?Hahahahaaa loooh kungekuwa na voice note hapa ungesikia kicheko changu.
..... "Ngabu ahsante... Kweli we kidume".....
Ntafanyaje sasa wacha niimbe tuu looh hehehehehehehehee hiyo ana kwa ana ntakomajeee aahahahahahhahaaaa
Hivi app ya JF haina kile kidole cha kati?
I wanted to say *** you Kasie....
Mhhh napata shida kuelewa au ndo mie sio gret sinka
Miafrika na Waafrika kuna uhusiano gani? Nikiwa Mwafrika naona kama hujanitendea haki
Wewe cheza ngoma hizo ni zenu dhahabu na utajiri mwingine ni wa mzunguSema ahsante....
Habari za masiku tele mabibi na mabwana. Poleni na hongereni kwa shughuli za kuwaingizia kipato.
Kitambo nimekuwa kwenye mradi unaonifanya nilale masaa machache kati ya 24 na mengine nawajibika, uzuri ni mradi wenye ukomo na hapa karibia mwisho wa mradi hivo leo japo ni siku ya kazi kwangu nimeweka kituo kuburudika na kupunguza uchovu.
Rejea mada tajwa, kuna raha sana kuzaliwa mwafrika binafsi najivunia. Moja ya vitu napenda vya kiafrika ni kucheza ( ngoma, nyimbo, za aina na mandhari zote). Ila inapokuja kwenye kukata mauno aaah ndo mahali pake Kasie hapoo. .... shurti dera nilipandishe juu, nichutame kidogo usawa wa kiuno urudi nyuma kidogo halafu naanza bilinge bilinge taratibuuu kama sitaki huku nataka uuuh yangoyooo.
Raha ya kuzaliwa mwafrika ni kufurahia uafrika wangu, na kwasababu miafrika ndivyo tulivyo..... basi Kasie nayaendeleza mauno yangoyooo....
Haya ukinogewa na burudani hapo juu twende pamoja...
Unaanza kunengua huku unaringa kidogo yaani unakata mauno taratibuuu halafu unapeleka mikono yako kati kama unapiga makofi kisha unachetua mguu wa kulia hewani kwa upande wa kulia huku kiwiliwili unakiegema upande wa kushoto kiaina. Halafu unarudia kukata mauno taratibuuu kisha unakutanisha mikono yako kati kusema unataka kupiga makofi halafu unachetua mguu wa kushoto juu upande wa kushoto huku kiwiliwili kikiegema upande wa kulia kwa mbali. Unarudia zoezi lote huku ukifurahia na kutabasamu ukataji wa mauno yako....
Yangoyooo....
Miafrika Ndivyo Tulivyo.... (heheheh heheheee copy right mwenye signature yake) hata tuige vipi ya wazungu miafrika tunafanana tuu.... Yangoyooo.
Kasie Nyonda-ake mtufudenge.
Wewe cheza ngoma hizo ni zenu dhahabu na utajiri mwingine ni wa mzungu
Wazungu yao hayawatoshi wameingilia na yetuNgoma inachezwa japo haikeshi ila ni mpaka majogoo.
Kama mwafrika najipa burudani sawia bila kuunyima utamu mwili wangu.
Wazungu wana yao waafrika pia tuna yetu? Mie niko za hapa. ... Yangoyooo huku mguu mmoja uko hewani kiuno kinazunguka mithi ya mtu anayegeuza wali au ugali kwenye mafiga. .... Yangoyooo.
mama huwa simuelewagi kila anachopost alafu huwa nikisoma thread zake yaani siku nzima na kuwa na hasira tu hivi nani aje anisaidie niielewe hata moja ya thread zake jamani????????????? aaaaaaaarrrrrrrrrrrgggggggHabari za masiku tele mabibi na mabwana. Poleni na hongereni kwa shughuli za kuwaingizia kipato.