Cesc Henry Sn
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 217
- 125
Wanazingua... Mimi kama mteja nna haki ya kutoa dukuduku kutokana na huduma wanayo nipaHawapangiwi cha kurusha bhana.
Habari wakuu,
AzamTV wana kipindi cha michezo maarufu kama Mshikemshike ambacho kinaruka baada ya taarifa ya habari ambacho mara nyingi lazima nikivizie kutazama sababu at least kuna ka wigo ka taarifa za michezo.
Ila cha kushangaza hawa jamaa leo hii awajarusha taarifa yoyote ya michuano ya SportPesa Super Cup, basi hata kwa still picture kuongelea matukio ya kimichezo ya mpira wa miguu yanayo endelea yakikata kiu ya wapenzi wa soka la ndani kwenye kipindi hiki ligi zikiwa zimeisha msimu huu.
Sasa najiuliza sababu iliyo fanya wasirushe na najua kwa makusudi wamefanya hivyo... Au walibaniwa tenda ya kurusha matangazo au michuano sababu inahusisha mdhamini wa kampuni ya kamali?
Hadi sasa sijaelewa, ila kwa tukio kama Yanga kushinda leo hii na Singida united kutolewa wasiweze kukupasha?
Ya kwenye clouds tv si ndioNausubiri sipoti extra apa
Nna uhakika hapa wahusika wataona... Kwani kuna kikomo cha nini kuweka?Si ungepost huko kwenye makundi yenu ya soccer..
Hili nalo la kuleta JF!?
Alafu awajui kuwa watatangaza tu iyo kamali maana simba yanga singida watavaa jezi zenyenembo iyo kiindi cha ligikuuhawa wanachanganya Dini na Michezo ,natamani kung'oa dishi lao
Watake wasitake... We hata kwenye magari ya boss wao ya kubeba ngano... Kuna picha ya msuva ila mdhamini wa mwanzo yule Kili, wamefuta ili isionekaneAlafu awajui kuwa watatangaza tu iyo kamali maana simba yanga singida watavaa jezi zenyenembo iyo kiindi cha ligikuu
naomba yanga na simba waweke nembo kubwa sana la sportpesa tuone watafanyajeAlafu awajui kuwa watatangaza tu iyo kamali maana simba yanga singida watavaa jezi zenyenembo iyo kiindi cha ligikuu
Kwenye page yao ya FB sijui kama watajibu!Fainali ya ASFC simba walivaa Jersey zenye nembo ya sportpesa mbona...nafikiri kama wana hata page popote waulizwe tusikie maelezo yao....
Kwenye list yao sijaona hata moja, ila zile salam salam zipoHivi Azam Tv wana channel zozote za dini ya kikristo?
TB Joshua Emmanuel tvHivi Azam Tv wana channel zozote za dini ya kikristo?
Haipo AzamTB Joshua Emmanuel tv
Na kwa nini wasiweke channels za kikristo? Kuna shida gani kuwapa audience yao choices? Coz najua nchi hii ina waumini wengi wa dini mbili, kwa nini wasiwaridhishe wakristo ili mtu asishawishike kuwa na ving'amuzi vingi.Haipo Azam