mi si mcheshi nitapata mpenzi kweli?

mi si mcheshi nitapata mpenzi kweli?

usijali.wapo watakaokutongoza wewe, kazi kwako kusema ndiyo au hapana huku umeinama chini unauma uma vidole
habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?
 
Yule demu bado mnachukuliana kaka na dada au umeshafunguka.....Hizi topic zako mbili zimeshaniambia wewe ni mtu na namna gani na nahisi kama naliona tatizo lako japo kwa mbaaaaaaaaaaaali

Funguka kaka, tatizo nini? Utakuwa umenisave.
 
siku hizi wapo wanawake wenye ujasiri wa kumfuata mwanamme na kumtaka kimapenzi.kama ulikuwa haujui hilo ndiyo nakupa taarifa hivyo.ninaye rafiki yangu ambaye alikuwa mpole, binti kamtokea, akamfukuza, ila binti hakukata tamaa.kwa sasa wanaishi kama mke na mume na wana mtoto mmoja.
Huu ushauri au matusi?
 
masomo yangu nayo huchangia, mambo magumu in a way nayawaza kila saa, so sense of homour nitaitolea wapi mwenzangu?

dogo acha utoto. We sio wa kwanza kukutana na hayo masomo na wanafyekana kama kuku. Ulizia mambo yanayotoke kagera na lukuledi ndo utajua kwamba unachosingizia siyo kweli.
 
Hahahahahaaaaaa... We mcheshi bana, maana hata hii thread yako imenichekesha...

Anyway, fanya hivi... ingia kule jukwaa la jokes, then kremu huko posts zinazochekesha. Kila ukiwa na wadada utakuwa unazihadisia...
...hahahhahhhha aaaaaa daah..jf jf jf !! nimecheka sana,wakati mwingine watu wanaweza kukushangaa kumbe unasoma nyizi kwenye jf
 
siku hizi wapo wanawake wenye ujasiri wa kumfuata mwanamme na kumtaka kimapenzi.kama ulikuwa haujui hilo ndiyo nakupa taarifa hivyo.ninaye rafiki yangu ambaye alikuwa mpole, binti kamtokea, akamfukuza, ila binti hakukata tamaa.kwa sasa wanaishi kama mke na mume na wana mtoto mmoja.

Duh hi kweli noumaa! So kumbukumbu zao mke ndo husimulia mume alivyomsumbua akimtongoza! Bahati ya hivi ikiangukia hakiamungu siachi kwanza itanipunguzia stress nijisomee kwa bidii. Nimekuelewa but uliipresent vibaya!
 
My dear ni wewe tu

Mbona mie nilisoma sayansi na always niko aff brain

Tatizo lako unawaza sana jinsi ya kumchekesha, kikubwa speak your mind and be yourself

Nachokiona kwako ni huna confidence ya kuongea mawao yako, unakuwa unahisi huna point
Kumbe hizo pointless ndio point kweli kwenye mapenzi.

Jamani, si huyuhuyu kanambia sina sense of homour, nabore na sina stori, nipeni ushauri jamani, sitaki kumkosa, wengi tunaosoma science ndo weaknes yetu.
 
we dogo utadisco nenda kasome..........maaana wanakusumbua sana akili hao...nilishakwambia nipe hata number zao nikurekebishie kama bro ..unashangaa.....mi silaha yangu kubwa ni kuwafanya wacheke then wanastukia ...tayari mtegoni
 
Hivi unajua kiwewe cha semister ya kwanza wewe??

Una mahela ya boom, sketi zinapita karibu na bafu lako afu huna hata moja ya kukutolea mawazo?

Utabaka hata papai

Yani huyu doc sijui kama disco litamuacha mwaka huu,maana anaziwaza tu sketi
 
habari zenu wana jf, mimi ni kijana wa miaka23 nipo muhimbili nachukua degree ya udaktari mwaka wa kwanza, naombeni ushauri kwa hili, mimi siyo mcheshi na pia nakosaga stori za kupiga napokuwa na wanawake especially naowapenda, kwa mtindo huu ntapata wa kunipenda kweli?
Haihitaji ucheshi wala stori nyingi... siku ukikutana na atakayeujaza moyo wako utajishangaa jinsi utakavyofunguka na kuanza kumwaga point na wala hautajua hayo unayoyasema yanatoka wapi
 
Ningeipresent vizuri isingekuhamasisha kuuliza zaidi.Udaktari wako tu ni kivutio kwa wadada.wala hauhitaji kuhangaika sana.Jinsi unavyoongea na watu katika kazi zako, utajua tu kuongea.Huo ukimya utaisha tu ukishaingia fourth year.
Duh hi kweli noumaa! So kumbukumbu zao mke ndo husimulia mume alivyomsumbua akimtongoza! Bahati ya hivi ikiangukia hakiamungu siachi kwanza itanipunguzia stress nijisomee kwa bidii. Nimekuelewa but uliipresent vibaya!
 
Hapo blue jamani

Usimfanye akenda baka mtoto wa watu, anachukulia mambo kama yalivyo

Nadhani ni confidence na self esteem, you never know childhood experience yake.

ahaa... ndo nakuelewa sasa.. huwezi kujifunza kuchekesha bila kua na uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka.. cha muhimu kuwa social(jamiiana), ongeza interaction na watu sanaa... then utakua mchangamfu na itakusaidia kuwa muongeaji mwenye comfidence na atakupenda.. otherwise nenda short course kwa mpoki...
 
Assume ni wewe, nikija kwa kujiamini tu nakupata?

dogo sikia hao mademu wa muhas huwa hawatongozeki. We kuwa oppoturnistic tu utawapata. Maana wanapenda kugongana na mkimaliza hamjuani. Ni wachache wanapenda kufuatana fuatana mpaka chooni kama watu wa social sciences.
 
Ndo hawa wanaojipanga Thai village ndio wanakupasua kichwa??

Hebu futa namba yako hapa mtandaoni unless unatafuta soko la kubwa marioo, ndo maana anakukataa

Nipo hosteli masaki bro
 
Hapo blue jamani

Usimfanye akenda baka mtoto wa watu, anachukulia mambo kama yalivyo

Nadhani ni confidence na self esteem, you never know childhood experience yake.
Hahaha... yea! ajaribu kusocialize kisela...
 
Hivi unajua kiwewe cha semister ya kwanza wewe??

Una mahela ya boom, sketi zinapita karibu na bafu lako afu huna hata moja ya kukutolea mawazo?

Utabaka hata papai

Kongosho you seem to be a good relationship adviser, wish nikujue kwa undani waeza nsaidia haya mambo.
 
Funguka kaka, tatizo nini? Utakuwa umenisave.

Hujiamini hasa kupokea majibu ya Galls wakati wa kutongoza, unafikiri kutongoza ni kazi ngumu kama kulima au kuchimba visiki...kutongoza sio maneno kihivyo matendo yanatosha kumwonyesha msichana kwamba unampenda hivyo anakuwa attention kusubiri siku ya kupewa neno la mwisho na tena hukurupuki kutongoza kwani sio lazima kila mwanamke akupende wewe la uniambie umekuwa mungu.
 
Back
Top Bottom