Mi nililia kwa hasira,wewe je??

hivi mitambo ya analogia si imezimwa dar yote?? naona kuna watu bado wanatumia kinyemela..
 

Nakupata sana,sema nimejifunza mengi juu ya mahusiano,na tabia za wadada..
 
Mkuu Bujibuji umenichekesha sana,jamaa alidhani mzee kaitwa kuona anachonunua ili nae aongezee.

Bora muoane kutimiza mradi, ila mambo ya kufall,acha kabisa. Inaumajee...
 
Bora useme wewe mdada!

Yeah.. Nimependa tu kuwashirikisha niliyopitia.. Ingawa uzi wangu haukuwapendeza sana wadada walioupitia...
Si kusudio langu kuwakera,na nakaribisha maswali ma michango mingine.
 
Sasa hivi hujapatikana?

Mh... Kwani nina hamu tena.. miaka niliyokaa naye haikuwa ya amani. Muda mwingi tuliutumia kulumbana,kwenda kusuluhishwa ,n.k.
Kwa sasa sina mpango wa kuoa karibuni..
 
daah sasa wewe uliona kabisa mtu hakupendi,hajatulia bado ukampapatikia jamani? pole kwa yalotukuta bado yupo na huyo mzee?
 
Kama ni mtihani ningeandika wimbo....."siku uliyoondoka uliniacha na majonzi.........................
 
Eh pole kwa yaliyokukuta but hukuwa na sababu ya kulia..
 
endelea bwana

Da Smile umeweza kupitia huu uzi? Kina dada wengi wamekuja na "negative comments"..nadhani kwa kuwa umemportray mdada mwenzao vibaya..
 
Last edited by a moderator:
unalia nini madogo hayo,
hata baada ya ndoa yenu uwezekano wa kuendelea na mapenzi yao bado ni mkubwa tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…