Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Minaona kilamtu agawanyiwe sehemu yake kuliko hivi wachache wanavyofaidi wenyewe
Nipewe gold zangu 2 silver 2 tanzanite zangu 2 tembo wangu 2 nyumbu wangu 2 shama langu ekari 2 sijui bahari tutagawanaje pale, misitu na nyuki nipewe sehemu yangu siachi kitu...!