mbegubora29
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 502
- 329
Mh. rais mbali na kupondwa na baadhi ya wadau japo naamin wangekalia kiti hicho wangeboronga sasa nijenge hoja kwa kuuliza mh raisi unatujua tupo watanzania wangapi au unatakwimu sahihi ya watu wako ili bajeti yako iendane na uhalisia! nawasilisha!