Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Mbona siku hizi hii trend ya kuwa punch wasukuma imekuwa kubwa,what's the motive behind?.
HaaaaaaaaaaSasa hivi mtasikia matangazo atakaye wanyanyapaa wakina ngosha atakiona cha....!
Kumbe mngoni na msukuma Ni watani .. AlaaaaWasukuma hatukatai utani?? Ila utani ufanywe na watani zetu ka wagogo, wangoni, wasambaa, wazaramo na baadhi ya makabila ya Pwani!! Huu unaoendelea no udhalilishaji!! Na motive yake no kuonesha wasukuma ni washamba ndo mana hawakuvote mabadiliko kitu ambacho si kweli!!