Mhudumu wa Wasiojiweza

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,355
Ndugu zangu,

Anatafutwa mtu wa kuhudumia wasiojiweza watatu wanaokaa katika familia moja. Wote ni wa jinsia ya kike. Kazi yake ni kuwapa basic needs...kuwaogesha, kuwapikia chakula na kuhakikisha wanakula, kuwaweka safi na kulala vyema.

Walinapoishi ni katika mkoa wa Kilimanjaro wilayani Rombo. Ni kwenye familia iliyosimama katika imani ya Kikristo yenye kipato cha wastani.

Anayetafutwa ni mwanamke....awe matured na mwenye upendo akiwa na mtoto haijalishi, yeye na mtoto wake watapatiwa hifadhi na huduma zinazostahili. Awe na upendo na uvumilivu kwa wasijiweza.....akiwa na imani ya Kikristo atakuwa na added advantage.

Kwa yeyote anayeona anaiweza au ana ndugu/jamaa/rafiki anayoiweza kazi hii naomba anitumie private message au anitafute kwa namba 0763 534343.

Ahsanteni na Mungu aendelee kuwabariki
 
Haya kaka naona mimi nina vigezo vyote, kwanza ni mtu mzima wa jinsia ya kike, ni mkristo na pia nina mtoto mmoja maana naona hamuitaji zaidi ya mtoto mmoja. lakini mshahara sh ngapi? naomba hiyo kazi aisee as you know am still desperate.
 
Unaleta masihara hata kwenye yuziful sredi? Mwone kwanza!
 
Back
Top Bottom