kitutunyantuntumbe
Member
- Aug 2, 2012
- 10
- 8
anahitajika msichana wa umri wa miaka 18-25 kufanya kazi stationery iliyopo sinza kijiweni kuanzia saa 1 asb hadi 1 usk
mshahara laki 1 tu.hatuto nauli wala chakula utaongezwa baadae ...anayejua anashauriwa kuomba hata asiyejua ila yupo tayari kujifunza.
tuma cv na passport kwenda mimiwewe88@yahoo.com
pamoja na namba yako ya simu mwisho tarehe 17/10/2014
ahsante