Mhitimu wa Chuo cha Ualimu, natafuta tempo

Kabaizer

JF-Expert Member
Oct 4, 2011
504
64
Kwanza kabisa nawasalimia!

Mimi kijana ambae nimemaliza chuo cha ualimu mwezi mei mwaka huu, nilikua naomba msaada wenu wakuu nipate japo tempo wakati nikisubiria matokeo yangu.

Nina uwezo wa kufundisha awali mpaka darasa la tano masomo yote, na kama unahisi unakibarua chochote ambacho kinaweza kunifaa nahitaji msaada wako.

Nawatakia majukumu mema na asubuhi njema, kwa mawasiliano 0653 957095!
 
All the best mkuu.

Keep praying and trust that God will give you a job.
 
Kwani matokeo hayajatoka? Ni vizur ukasubir matokeo then uombe tempo huku ukiwa profesional by certificates
 
Back
Top Bottom