Mhitimu niliepoteza dira

Mhitimu niliepoteza dira

kwanini utafute kazi hata ya kuuza genge? plz focus kwenye taaluma yako na usikate tamaa. mwenyezi mungu akufanyie wepesi inshallah.
 
mhh juz tu unalalamika ivo! Me mwenzio tangia July 2011 nw napika chapat na maandaz napeleka mahotelini! Huku napata senti zakurolea copy za cv...pole

hongerah mkuu kwa ujasiri wako si haba Mwenyezi Mungu na akunyoshee mkono wake wa neema,nona we have similar years of unemployment,though nw nimeamua kurudi shule for a one year postgraduate diploma!
 
Mkuu mtoa mada kwa Taaluma yako ya sheria nenda kwa law firm yoyote uintern hata wakikupa hela ya chakula na usafiri tu si haba!usikae home jobless!
 
wakuu mimi ni mhtimu wa shahada ya sheria nmemaliza june mwaka huu lakini hadi leo hii nmetafuta kazi hata ya kuuza genge nmekosa wakuu na maisha ya mtaan n magumu sana ndugu zangu naomba mwenye uwezo anisaidie 0767387145 au n pm

usikate tamaa jitaid mwez wa pili au wanane 2014 uende law school baada ya hapo huwez kukosa kaz hata za kupigia mihuri watu wanaohitaj mihur ya advocate!
 
we una utani yani juni mwaka huu unapiga kelele tayari...ur not serious....!
 
wakuu mimi ni mhtimu wa shahada ya sheria nmemaliza june mwaka huu lakini hadi leo hii nmetafuta kazi hata ya kuuza genge nmekosa wakuu na maisha ya mtaan n magumu sana ndugu zangu naomba mwenye uwezo anisaidie 0767387145 au n pm

Dah.. we jamaa mbona unafurahisha? yani umemaliza juni mwaka huu unalalamika? washikaji tumekaa mtaani huu ni mwaka wa tatu sasa hata vyeti hatujui viko wap tna, wakati wa kuanza kulalamikiana umekwisha kwani sasa ni wakati wa "big results now". Embu tuwasiliane kuna mashamba nilinunua baadhi yake yana migogoro unisaidie sheria inasemaje labda tunaweza tukaanzia hapo.
 
wakuu mimi ni mhtimu wa shahada ya sheria nmemaliza june mwaka huu lakini hadi leo hii nmetafuta kazi hata ya kuuza genge nmekosa wakuu na maisha ya mtaan n magumu sana ndugu zangu naomba mwenye uwezo anisaidie 0767387145 au n pm
Mkuu pole sana. Tumepitia huko na unatakiwa uwe na uvumilivu wa hali ya juu na ujitume sana, Kama wakuu wengine walivyosema jitahidi hata volunteering, na nina uhakika kuna siku utatoboa. Ukishindwa kabisa basi tafuta nauli ya kuja kubeba boksi. Nyani Ngabu raisi wetu atakupa more details
On a separate note: Niliwahi kuambiwa kuwa watu wenye LLB hawakosi ajira bongo. Kulikoni?
cc: Nyani Ngabu
 
usjal ndugu yangu tupo wengi mbona?? subir hta upate chet rizik yako ipo ila uschoke kutafuta
 
Tatzo la wahitimu weng huwa na overexpectation pind tuwapo vyuoni, na pale tunapomaliza na kuona yale tulotarajia hayafanikiwi hata kwa asilimia ndogo basi tunaanza kupagawa, kuna baadh ya watu wako kitaa miaka 3 na bado wanakula msoto lakini wewe mwenzangu una transcript tuu hapo hata cheti(gamba) bado unaonekana kama ushakata tamaa kiasi cha kutafuta ajira ya kuuza genge. Mi mwenyewe nime graduate mwaka huu july nakula msoto kama wewe ila sijakata tamaa, vumilia neema itafika utapata kazi, tuwe na subira kaka. Unatafuta kuajiriwa kuuza genge ambalo mtaji wake unaanzia elfu 20, ina maana huwezi kupata pesa hiyo ukaanzisha genge lako mwenyewe kuliko kuajiriwa ktk genge?.
 
Hayo ndiyo maisha ya wasomi wa bongoland, unahitajika uvumilivu mkubwa katika hili la ajira tena hasa kwa mtu ambaye alienda chuo kusoma tu pasipo na conection na waliopo kwenye nafasi nzuri za kuweza kumdirect mtu. Tuko mtaani wengi na zaidi ya four year ila tunachofanya ni tofauti sana na tulivovisoma chuo, kilimo,ufugaji,biashara nk, pambana huko
 
pole sn mkuu, mi kwa upande wangu ningeshauri urejee urikopiga internshp japo kwa kuvolunteer hapo channel ztajiset mana zku zote kazi haikufuati nyumbani na mweny kidg ataongezewe,asienacho kunyanganywa. I wish utakua umenipata mkuu!
 
Ndugu mbona ndo kwanza waingia street, sio vyema kuanza kukata tamaa mapema. Ingia hapo LEAT kuna ajira haihitaji law school then we komaa na kila kinachopita mbele yako usidharau hata jkt post zikitoka we nenda tu.
 
Back
Top Bottom