Mhitaji wa Mizigo (Kwa wenye Magari tu)

Dans B

Member
Jun 4, 2018
10
5
Habari za Muda huu waungwana.

Kama kuna mtu/ kampuni ana magari na anahitaji mizigo (local au transit) au anapata changamoto kupata mizigo.

Ntumie mawasiliano yako PM tutawasiliana vizuri kiundani na kuweka mambo sawa.

Natanguliza shukrani.
 
Kwa wanaohitaji kusafirishiwa mizigo kutoka Dar es Salaam kwenda mikoa mbalimbali Tanzania...wanaweza kuwasiliana na hawa jamaa kupitia 0653487816.

Huduma zao ni za kusafirisha bahasha mpaka mizigo mikubwa (yaani Tani 30 na kuendelea)

Ofisi zao zipo Kinondoni kwa Pinda Opp Phantom Energy Filling Station ️.

Ni kampuni inayofanya kazi kwa credit na cash.
 
Back
Top Bottom