Mhindi akamatwa Dar kwa utapeli wa 30 billion shillings

Kusingekuwa na haki za binadamu ningeshauri akobolewe, asagwe sembe tumtumie kwa ugali. Kwa kuwa sheria zipo naamini vyombo husika vitafanya kazi yake, japo hilo nalo halitawezekana, ndo hivyo tumezoea, maumivu ni kawaida yetu.Naunga mkono hoja ya kila mkoa kuwekewa jiwe kubwa la panado na diclofenac kila mwenye maumivu anapitia kulamba.Japo naamini mawe hayo yatakuwa yanakwisha kila siku.
 
tunahitaji dikteta kuyashughulikia haya. Hakuna chama cho chote cha siasa nchini kinachoweza kukomesha hali hii. hata wanaopiga kelele si ajabu wanapiga kelele kwa kuwa wako nje!!
Mbona unawahukumu kabla?
Nini sababu za kufanya uchaguzi kila baada ya kipindi fulani?
 
Kusingekuwa na haki za binadamu ningeshauri akobolewe, asagwe sembe tumtumie kwa ugali. Kwa kuwa sheria zipo naamini vyombo husika vitafanya kazi yake, japo hilo nalo halitawezekana, ndo hivyo tumezoea, maumivu ni kawaida yetu.Naunga mkono hoja ya kila mkoa kuwekewa jiwe kubwa la panado na diclofenac kila mwenye maumivu anapitia kulamba.Japo naamini mawe hayo yatakuwa yanakwisha kila siku.
<br />
<br />
Sio kila mkoa ni kila mtaa. Kukiwa na moja tutauwana halaf wasio na nguvu kama ww mtakosa kulamba kila cku
 
Unaonaje tukupe wewe hilo jukumu? Maana unadai hakuna chama chochote kinachoweza kukomesha hali hii.

I gurantee you, mabadiliko mtakayo yaona mtashangaa jinsi nchi hii ilivyo tajiri, utajiri ambao watu wanaugawana kwenye vyumba vya mahotel.

Mbona unawahukumu kabla?
Nini sababu za kufanya uchaguzi kila baada ya kipindi fulani?

Hakuna chama chochote katika mazingira ambayo unapaswa kuyaona kwa jicho la kiuhalisia na si ushabiki. Ukimsikiliza hata mbowe, analalamika sana bungeni issue ikiwa inahusu/kama imegusa maslahi ya mikoa ya kaskazini. Huku wanalalamika kuhusu barabara, mikoa mingi iliyo kusini na magharibi mwa reli ya kati (kwa urahisi tu-chekck mkao wa reli kuanzia dar mpaka mwanza) uozo wowote unaofanywa eneo hilo la kaskazini mwa reli hiyo ndiyo tumezoeshwa kupigishwa kelele. Tunasahau kuwa mikoa kama tabora, kigoma, katavi, rukwa, Ruvuma, Iringa, Lindi, kagera etc barabara almost hazipitiki hasa zile zinazounganisha wilaya. Na katika eneo lote hilo zaidi, ya kale kauwanja ka ndege ka nduli-iringa, na mtwara hakuna kiuwanja cha ndege (mathalani) hata kimoja chenye lami katika mikoa hiyo.

Asilimia kubwa ya kuona kwao ni kaskazini tu. Hata wazo la kuwa na uwanja wenye standard ya kimataifa angalau kupokea Boeing 737 mjini mbeya, mraji unaendeshwa kwa taratibu mno, lakini ingekuwa unajengwa kazkazini, ingeonekana kuwa kilio cha taifa lote.

Siwahukumu lakini wanapaswa kubadilika kwa namna wanavyoyachukulia mambo nyakati fulani.
 
Kwa rushwa ilivyokithiti polisi na mahakamani, huyo mhindi sidhani kama atapandishwa kizimbani hiyo kesho. Na hata akishtakiwa, basi ujue hiyo kesi itaisha yenyewe kwa serikali kupeleka mashitaka mabovu kwa makusudi. Nchi hii uibe laki tatu au milioni 3 utafungwa jela, lakini ukiiba mabilioni hakuna wa kukufunga.

Mnabisha? Nani ameshitakiwa kesi ya mabilioni ya shilingi akafungwa jela. Labda kuwepo shinikizo la kisiasa kama kesi za EPA.[/QUOTE



Nadhani ofisi ya DPP haina uwezo wa kuandaa kitaalam majalada ya KESI NZITO KAMA HIZO, mana kila kesi kubwa utasikia jalada limerudishwa kwa DPP LILIKUWA NA MAKOSA.....Na doubt credibility ya ofisi ya DPP naimani kuwa kuwa inanuka rusha kuliko hata policy na mahakama.
 
Back
Top Bottom