Mhhhhhhhh! Kwa penzi hili nadhani karibu nanyoosha mikono juu!

Mmhhh watu8 ww tena ndo hua unanifurahisha karibia kila post unayo comment humu, panua mdomo kiduchu onyesha meno, toa sauti hapo utakua ushacheka!

Kumbe kucheka ni rahisi namna hiyo...!!!

Hivi kumbe huwa wafurahishwa na niandikayo...hongera kwa kukuongezea siku bi mkubwa...
 
"Natamani kuachana nae ila
roho inaniuma – hela zangu."

Lol.....
 
Nimecheka sana, hata nakosa la kukushauri.
Chagua kumwacha na kusahau gharama ambazo umeshaingia au kukaa nae na kuingia gharama zaidi, njia zote zinaishia sehemu moja HUTO PATA UTAKACHO
 
Kaka jikaze tu. Hakuna rahisi mjini mkuu. Mie hayo yashatokea mara kibao but najikaza tu ila siku akibugi kunipa papuchi huwa naita na majini yanisaidie kumrekebesha. Na kwa kuwa nimejaaliwa kilema huwa napiga hadi nachubua. Kisha nasepa kama hivi....

Dah kaka kwenye majini hapo umeua! Kwamba yanapiga kazi si mchezo? Kama ndivyo umejuaje?
 
Kwa kawaida! kwa demu mya unatakiwa usihonge zaidi ya mara2, kwanza demu anakuzingua miezi 3-6 wa nn? unless unataka mke! na mama kijacho akianza na mizinga ujue maisha yatakuwa magumu mbeleni
 
Pole sana mkuu mimi pia ilinitokea bi dada mmoja alikuwa kila siku ananitafuta nikirudi kutoka kwa job na anasema anakiu sana na kilasiku lazima anywe bia 8 na nusu kuku kama haitoshi akadai simu imetumbukia kwa maji nika mnumulia mara naomba nauli naenda tanga na kurudi na matumizi, nikamwambia njoo uchukue kwa home alipofika nilimparua kwa kisirani mpaka nikasimamia kama naendesha baiskeli mlimani na nikampa laki 2 nauli na matumizi walao nilifaidi papuchi yake sio kuomba hela tuuuuuuuuuu bila kutoa
Ulitoa laki mbili kwa papuchi ya nusu saa, kweli wajinga ndio waliwao!
 
Back
Top Bottom