Mhhhhhhhh! Kwa penzi hili nadhani karibu nanyoosha mikono juu!

dah kaka kimbia bila kugeuka nyuma.utauza mpaka nyumba ya urithi na ucpate kitu..jipange upya ujenge future yako....
 
Pole sana mkuu mimi pia ilinitokea bi dada mmoja alikuwa kila siku ananitafuta nikirudi kutoka kwa job na anasema anakiu sana na kilasiku lazima anywe bia 8 na nusu kuku kama haitoshi akadai simu imetumbukia kwa maji nika mnumulia mara naomba nauli naenda tanga na kurudi na matumizi, nikamwambia njoo uchukue kwa home alipofika nilimparua kwa kisirani mpaka nikasimamia kama naendesha baiskeli mlimani na nikampa laki 2 nauli na matumizi walao nilifaidi papuchi yake sio kuomba hela tuuuuuuuuuu bila kutoa

We noma....
 
Akhuuuuuuuu sitaki papuchi yangu, hahahahaha you have made my night, nimechekajeeeeee lol

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkuu mbona kuna jukwaa lenu malover boy mnaowaza papuchi masaa 24, sie huku twatafuta kazi na tenda, mods msaada jamani kuna MTU kaingia choo cha kike, watu tuna stress za kutafuta kazi ye anatuletea mapenzi hapa
Haaaaaaaaaaaaa! Nilikuwa cjui kama MMU ni jukwaa la Ma lover boy!
 
Mhhhh! Baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu, uzalendo ulinishinda nikaamua angalau na mimi nitafute binti wa kuniliwaza. Mchakato huu ulianza kwa binti mmoja ambaye tulikutana kwenye dala dala tukitoka Posta kuelekea Mwenge. Nilivutiwa na mwonekano wa Binti huyu nikaamua niombe namba ya simu.

Mungu si athumani alitoa namba bila hiyana! Kutokana na furaha ya kupewa namba sikuweza kuongea chochote siku hiyo kama mtu aliyewekewa matambala ya nguo mdomoni hadi muda wa kushuka Mwenge ambapo tuliagana tu na nikamuahidi kumtafuta. Kwa mwonekano, binti huyu ni mwembamba, ana baby face, mweupe wastani pia ni mrefu kidogo. Alikuwa na SmartPhone ya Nokia ambayo gharama yake nakisia sio chini ya Laki Tatu!

Pia alikuwa amejitupia micheni siku hiyo, cjui ya madini gani mshamba mie. Msije Mkaniomba Picha! Sina. Tulianza mawasiliano ya hapa na pale huku nikijaribu kumuonesha kwamba najali. Urafiki wetu ulidumu kwa muda kama wa mwezi mmoja ndipo nilipoamua kumtamkia wazi kwamba ……………….!

Katika urafiki wetu nilipata kujua kwamba binti yule alikuwa anasoma Procurement kwenye chuo Fulani hapa hapa Mjini. Nilizungushwa kukubaliwa ombi langu kwa muda kama wa mwezi mmoja. Sikukata tamaa kwa sababu nawajua watoto wa kike: Kwanza kukubali moja moja ni udhaifu na pia mapozi kwa mtoto wa kike ni ya muhimu kama ilivyo tendo la ndoa kwa walio oana. Baada ya kubembeleza sana ombi langu lilikubaliwa na nikawa rasmi mpenzi wa Fulani.

Kukubaliwa huko kulileta Joto na Raha ndani ya moyo wangu! Kusema kweli nilifurahi wiki ya kwanza huku nikishindwa kujenga taswira kwenye ubongo wangu siku ya kugegedana itakuwaje?????????!!!!. Kitumbua kiliingia mchanga baada ya kuombwa Laki Moja ili aongezee kwenye ada alipe chuo. Nilijiuliza maswali mengi ambayo yalikuwa hayana majibu. - Kwanza kwa nini asimuombe mzazi wake. Mi sio mzazi!!!!! - Miaka yote nani alikuwa anamlipia ada? - Kama mimi nisingekuja kwenye maisha yake, nani angelipa hicho kiasi cha ada! Na mengine mengi. Labda wana MMU mnisaidie kumjibia. Nilitoa laki moja kwa shingo upande. Baada ya hapo nimekuwa mtu wa kupigiwa simu, mara dia sijala, mara dia naumwa naomba hela niende hospitali.

Nimegeuzwa ----- mie kila siku natoa hela tu. Siku alipokuja kunichosha ni pale aliponiambia kwamba SmartPhone yake imetumbukia kwenye maji na imezima kabisa haitaki kuwaka kwa hiyo kwa sasa ameweka kadi ya simu kwenye simu ya mwenzake. Kama umesoma “Critical Thinking and Argumentation” inabidi uwe umeshatambua kwamba nilitakiwa kukununua SmartPhone nyingine labda ya gharama Zaidi kuliko ile aliyokuwa nayo mwanzo.

Nikijiangalia mwenyewe natumia Nokia tena yenye tochi – gharama yake haizidi elfu hamsini. Hata hiyo SmartPhone sijui una-touch vipi kwa sababu nahisi siku nikipewa itanishinda kutumia. Nipo hapa hapa mjini ila mshamba haswa wa mambo hayo! Muda huu nilimwambia kwamba sina hela ya kumnunulia simu hiyo. Ila siku hizi huwa namkuta na Samsung Galaxy S3 Mini. Baada ya kumkatalia kumpa hela ya simu, kwa sasa tunaendelea na mizinga midogo midogo.

Papuchi sijapewa hadi leo. Nikimwita Faragha nijibiwa “Akhu”- msamiati ambao nilikuwa sijawahi kuusikia kabla isipokuwa kwa huyu binti. Penzi letu limekuwa la kukutana pale Mwenge – New Jamarat na kunywa Juisi. Sijawahi hata kugusa kalio mie. Natamani kuachana nae ila roho inaniuma – hela zangu.

Wana MMU naomba mnisaidie kwenye mazingira haya manake naweza nikafa mawazo– angalau nipewe papuchi tu na moyo wangu utapona.

akhu!!!
 
Kweli nimeamini kumbe hata kama una mawazo mengi ni bora uingie jf utapata burudani muruwa kabisa. Ila mkuu haya mambo yapo na yanawatokea wengi tu cha msingi usiendelee kuwa ATM yake we muite geto wakati anahitaji hizo pesa zako mwambie aje kuchukua geto akiingia tu kazi kwko kugegeda vya kutosha mpaka upunguze machungu ya hela zako then unamtimua aendezake.
 
Mkuu kamba yako ndogo, majani ya mbali yatakupa shida sana! Na ukifanya masiara shingo itakatwa na kamba!
...
Hiko kisasi chako, sio lazima umrudishie yeye!
...
Hongera kwa kipaji cha kuchekesha, na karibu kwa malover boy!
 
mkuu mbona kuna jukwaa lenu malover boy mnaowaza papuchi masaa 24, sie huku twatafuta kazi na tenda, mods msaada jamani kuna MTU kaingia choo cha kike, watu tuna stress za kutafuta kazi ye anatuletea mapenzi hapa

Acha mashauzi mkuu wewe si unajua jukwaa la nafasi za kazi na tenda lilipo, sasa umefuata nini huku MMU?,huku ni mahaba tu na papuchi ndio 'kivumishi' kwenye kila sentensi.
 
Hahahahahahahhha yaani baada ya kukuonea huruma naskia kucheka tangu naanza kusoma hadi namaliza....

Weee kaka weee unafanywa buzi bana weee amka unachunwa utauza hadi mashati...:rolleyes::rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Hahahahahahahaha nini mashati hadi ndala atauza chezea mujini weye.
 
Inachekesha na kuckitisha pole sn bora umuache mapema kabla hujachunwa manyoya yote
 
Lakini si tulikataza penzi kwa watoto wa chuo??, Ahya kama unataka umgegede ili ulipe hela yako basi endelea kusubiri, lakini chunga wakati unasubiri mgegedo usije ukawa ungagegedwa wewe..
 
Kutongoza ni sanaa bwana mdogo...

Nyuki pamoja na ukali wake wote ule lakini asali watu wanakula...

Umeweka mawazo yako kwenye kungonoka zaidi kuliko hatma nyingine chanya...

Akilini kwako kama mwanaume lazima uwe na plan A na alternative plans B hadi C...

Unapoanzisha mahusiano lazima ujue malengo au lengo la mahusiano hayo...

Pia ili malengo hayo yatimie inabidi utambue aina ya mtu uliyenaye...
 
Hahahahahahahaaaa uwiii lakini mnapenda kunichekesha i don't know why!
 
Mbona mimi siwezi kucheka kama wewe...nifundishe basi besti!!!

Mmhhh watu8 ww tena ndo hua unanifurahisha karibia kila post unayo comment humu, panua mdomo kiduchu onyesha meno, toa sauti hapo utakua ushacheka!
 
Back
Top Bottom