Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,639
Mkirudi tu home lazima swali ukutane nalo kwanini ulikuwa busy na furani?View attachment 1259881View attachment 1259892View attachment 1259903View attachment 1259914View attachment 1259925View attachment 1259936
Rais Obama alikuwa busy na mkwe wa waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon kuriko mke wake.Dakika za mwisho obama akashutuka na kumgeukia mke wake
Kama ujaoa uwezi kuujua utambu wa ndoaSasa, hapo kuna utamu gani?
Kama ujaoa uwezi kuujua utambu wa ndoa
Obama's 'selfie' at the Mandela Memorial fails to amuse First Lady MichelleNimeoa na nina zaidi ya miaka 10 ya ndoa. Labda ungeandika "uchungu wa ndoa" au "changamoto za ndoa" angalau ningekuelewa kidogo.
View attachment 126002Je ungekuwa we mke wako huko busy na jamaa mpaka kwenye simu yakeMkirudi tu home lazima swali ukutane nalo kwanini ulikuwa busy na furani?
Duh...this was TOO MUCH! Pole sana Michelle.
Duh...this was TOO MUCH! Pole sana Michelle.
Unajua Mkwe wa Rais obama alibalisha kitu obama alipokwenda kutoa hotubaMi sioni hata msisimko wa hii thread.