Mhhhhhhh Do I Need To Say More.........Obama's Gestures During Mandela Memorial!!!!!!

View attachment 126001 obama 11.jpg
watu wakiwa kwenye misiba
 
Ndo mana hata Salma naye sikuhzi habaki nyuma kambana kweli Jk, kila anakoenda naye yuko.
Jasiri ahachi asili, Wajaluo ndo zao usikute kashachukua contact hapo!
 
View attachment 1259881View attachment 1259892View attachment 1259903View attachment 1259914View attachment 1259925View attachment 1259936
Rais Obama alikuwa busy na mkwe wa waziri mkuu wa Uingereza David Cameroon kuriko mke wake.Dakika za mwisho obama akashutuka na kumgeukia mke wake


Naomba tutumie common sense kidogo kwa kujiliza haya: Hivi masuala ya Obama na mkewe yanatuhusu nini ama yanakuhusu nini wewe mleta mada? Shughuli ama matatizo yao wanayajuwa wao wenyewe, hivyo tusipende kutumia watu mashuhuri kama vigezo vya raha na karaha za ndoa. Ni upuuzi mtupu tusipende kuiga kila tukionacho.
 
Limbwata linafanya kazi aiseee, yaani Mama Michelle alivyonuna tu alikua anavuta mashetani ya Kiafrika, ghafla jamaaa akaondoka mwenyewe na yeye kawa ndio muongeaji. Safi Sana....just kidding dont take it too serious

hahaha kanunaje hapo...........maana attention yote ilihamia kwa PM
 
Hahahaha!
Dah natamani na mimi ije siku nataminiwa na some intelligent powerful women. Yani niko turned on sana na intelligence kuliko hata wezere!
Yani wakati unakandamiza ile kitu na feel kama concurer kweli yani.
Mweke Condeleeza rice hapa na sijui rihanna pale na beba condeleeza.
With ALL DUE RESPECT!

Uko turned na INTELLIGENCE!!!!!!
mie mwenyewe ni powerful intelligent woman ujue
 
Obama alishtuliwa,,,,na wazee wa usalama ,,kuwa bwana mkubwa umejisahau,,,,,,mke kanuna huku,,,we unajipiga picha tuuuuuuuuuuuu
 
kuna video moja imenichekesha hapa lakin sijui namna ya kuweka hapa

ya Michelle and Obama VS Bush and his wife
 
Uko turned na INTELLIGENCE!!!!!!
mie mwenyewe ni powerful intelligent woman ujue

Hehehe! Mpendwa HE by powerful simaanishi mwenda gym ila nijibu kwanza How many people take orders from you in your workplace?.
Halafu intelligence ina upimaji mwingi na hili nakubali kiaina kutokana na posts zako zote. (zile za ki serious na utani)

Ila nijibu swali la juu kwanza.
 
Hiyo picha #3 ,hao Wazee waafrika mbona kama ni Kulwa na Dotto?ni akina nani hao??
 
naomba tutumie common sense kidogo kwa kujiliza haya: Hivi masuala ya obama na mkewe yanatuhusu nini ama yanakuhusu nini wewe mleta mada? Shughuli ama matatizo yao wanayajuwa wao wenyewe, hivyo tusipende kutumia watu mashuhuri kama vigezo vya raha na karaha za ndoa. Ni upuuzi mtupu tusipende kuiga kila tukionacho.
umeumia sana pole.
 
Naomba tutumie common sense kidogo kwa kujiliza haya: Hivi masuala ya Obama na mkewe yanatuhusu nini ama yanakuhusu nini wewe mleta mada? Shughuli ama matatizo yao wanayajuwa wao wenyewe, hivyo tusipende kutumia watu mashuhuri kama vigezo vya raha na karaha za ndoa. Ni upuuzi mtupu tusipende kuiga kila tukionacho.
wE KASILIKA TU,pale watu wako kwenye msiba au.?
Zipo zingine tunaogopa kufungiwa Je naniii alikwenda kwenye msiba au kupiga picha na watu mashuhuri.?
 
aha mie kawivu kangenijaa vicheko na picha juu sijui wanaoneshana nini katika simu. yanaanzaga hivyo hivyo haya mambo si ya kuchekea kabisa.
 
wakati mwingine obama na Baba riz kama wanafanana tabia vile. nauliza tu waungwana!
 
Back
Top Bottom