Mhhhhh....

Mhhhhh....

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
65121_561591470536163_392498931_n.jpg
 
bwana weeee!!!!! ngoja ni mwambie mke wangu sijui atanielewa haya maneno, hasa nikirudi nimelewa na akileta hizo shombo zake za maneno , wewe malaya!!!
 
bwana weeee!!!!! ngoja ni mwambie mke wangu sijui atanielewa haya maneno, hasa nikirudi nimelewa na akileta hizo shombo zake za maneno , wewe malaya!!!
punguza hasira kiongozi,we unatakia umwambie mkeo maneno matamu kama anayoyasema huyu mwanamama.

C'est toi que j'aime, et pas un autre, et j'ai fait mon choix, je sais pourquoi
Nalog off
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaa ila angalia we kidume isije ikakuongezea u Master hii thread
 
Hii kitu imekaa kifalsafa zaidi na si ajabu hata Vitabu vitakatifu vimesema 'mwanamme ampende mke wake lakini mwanamke amheshimu mme wake'. Kuna busara kubwa sana inatumika na kwa maana hiyo wakati tunapigania 'usawa' inabidi tuwe na hilo akilini kuwa mmoja ni 'ufunguo' na mwingine ni 'kitasa'. Hii dialogue inafundisha kitu tena kikubwa.
 
hahaaaaaa Master haiwezekani......

anawachochea wanaume kuendelea kufungua zipu zao
It's a controvesal statement lakini ndio ukeli hata kama unaumiza. Najaribu kuchora picha kichwani juu ya kitasa ambacho kila ufunguo unaingia na kufungua ...kila mtu atakuwa anaidharau hii nyumba!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom