Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,845
- 141,228
Nini Manyoni, hapo hapo Dar-es-Salaam. Nimekazania hilo swali la kwanza la name a country whose first letter starts with U, How many Tanzanians will remember that the official name for our country is the United Republic of Tanzania? Na ukisema kwa kiswahili nchi yetu inaanza na J as in Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa mtu ukiwa umekaa mahali unafikira vitu vingine halafu ghafla mtu anakuuliza kuwa nitajie nchi ambayo herufi yake ya kwanza ni J kwa kiswahili, nani atakumbuka kuwa Tanzania inaanzia na J?
Haya tuje kwenye majina ya currency, watanzania wangapi wa kawaida ( ambao huwa hawasfiri kama shangazi zetu, mama zetu na watu wengine wengi wanaokaa nje ya Dar wanajua hela ya Zimbabwe ni nini? how about Swaziland, Lesoto, Namibia Zambia na Malawi? Najua wengi humu mnazijua kwa sababu ya usomi wenu, na kusafiri lakini Watanzania wengi hawajui labda wanaoishi mipakani.
Naona shabiki kesha badilisha mada na kuwa ya Manyoni, lol
Una tatizo na comprehension wewe. Manyoni ilikuwa ni mfano random tu. Sasa mada imebadilikaje? Sometimes I wonder how you got through school if at all you went to one....
Nini Manyoni, hapo hapo Dar-es-Salaam. Nimekazania hilo swali la kwanza la name a country whose first letter starts with U, How many Tanzanians will remember that the official name for our country is the United Republic of Tanzania? Na ukisema kwa kiswahili nchi yetu inaanza na J as in Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sasa mtu ukiwa umekaa mahali unafikira vitu vingine halafu ghafla mtu anakuuliza kuwa nitajie nchi ambayo herufi yake ya kwanza ni J kwa kiswahili, nani atakumbuka kuwa Tanzania inaanzia na J?
Haya tuje kwenye majina ya currency, watanzania wangapi wa kawaida ( ambao huwa hawasfiri kama shangazi zetu, mama zetu na watu wengine wengi wanaokaa nje ya Dar wanajua hela ya Zimbabwe ni nini? how about Swaziland, Lesoto, Namibia Zambia na Malawi? Najua wengi humu mnazijua kwa sababu ya usomi wenu, na kusafiri lakini Watanzania wengi hawajui labda wanaoishi mipakani.
Usipoteze muda wako kunifikiria mimi. Go and find a life.
Na wewe usipoteze muda wako kujibu wala kutolea maoni mabandiko yangu. Nenda kamtafute yesu wako...
Miaka ya nyuma CNN waliamua kucover student exchange program kati ya High schools (moja ya Zimbawe na nyingine ya New York). Basi Wamarekani walikuwa wa kwanza kwenda Zimbabwe na wakaulizwa maswali mbali mbali kuhusu Zimbabwe na hakuna hata mwanafunzi mmoja wa Marekani aliweza kujibu hata swali moja kuhusu Zimbabwe. Wale wa Zimbabwe walipoulizwa kuhusu US walikuwa wanajua vitu vingi sana na hata nchi majirani na US katika mipaka yake, kitu ambacho baadhi ya Wanafunzi walikuwa pia hawafahamu ni nchi zipi zinapakana na US katika mipaka yake. Wakati huo rais wa US alikuwa ni Clinton.
Kuna Wabongo wengi tu nawafahamu hawajatoka hata nje ya Tanzania na wala si wasomi kihivyo wanajua currency ya UK inaitwaje. Inahitaji usomi wa madarasa mangapi ili kujua kama Utah siyo nchi!!!!? Unahitaji usomi wa madarasa mangapi ili kujua Yugoslavia starts with Y and not U!? Maybe one needs Phd nowadaysin order to comprehend those LOL!
I have Jesus already.
You go and find a life.
Na wewe usipoteze muda wako kujibu wala kutolea maoni mabandiko yangu. Nenda kamtafute yesu wako...
Guku kinehe hangi? Mhola hene?
Nalimhola gete guku....ja kwenuko?
Ukunu mhola gete wangikulu, lunyili duhu lutali lukali.
Pole guku...bagishage abifa bhane nu ng'wanisale...
jamaa aliyeulizwa kuhusu Al-Queda amenichekesha sana,eti president wa group hilo ni Yasser Arafat nakuweka msisitizo anakupa "Everybody knows that" hahahahaha nimecheka sana
Ni kawaida kwao kudhani kuwa Yugloslavia inaanza na U kwa sababu kwa lugha yao herufi U kama na wewe unavyojua inatamkwa Yu. Hivyo Union, United, Unanimous etc. Actually, if you show them the word Ubungo or ugali without telling them how to pronounce they will say Yubungo.Country that starts with U? Hmm, Yugoslavia? Utopia? Ha ha!!