englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
ni ulemavu wa akili''wamekubali kutupa msaada lakini kama wataamua kutoa zaidi tutashukuru''jk maswali na majibu ujio wa obama.omba omba ...mtu huomba mara moja !! Okay omba mara ya pili no sweati" mara tatu inakubalika.... Lakini daily (mazoea tena) hapo haikubaliki na ni aibu. Sijui tafsiri yake nini? Ni ulemavu au utamaduni !!
Samahani wakuu